JB simtofautishi na kina Aunt Ezekieli-Ney wa Mitego

Thamani ya wasanii wa bongo huwa haieleweke kabisa actor mkubwa kama JB kwenda kukata viuno fiesta kweli ni msanii lakini umri wake pamoja na status yake haviendani kabisa na show kama ya fiesta.


njaa tu hawa...


532192_354633057955977_1363712261_n.jpg
 
angegoma panda jukwaani mngesema anaringa... kapanda mnatoa kashfa....
Nchi ngumu sana hii.. Taifa la majungu tu
 
Back
Top Bottom