GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania.
Jamani hii ndege ni ya Barrick ilitumwa kutuchukua kutoka Dar Jumamosi asubuhi kutupeleka Tulawaka na ikaturudisha tena Dar Jumapili asubuhi kuwahi Sanya Sanya ya Thai Village.
Mnaona mambo hayo?? Sio kwamba kulikuwa na abiria wengine nooo!
Si mnaona siti ziko tupu, manake Machozi Band plus dancers na Manager Captain ni watu 17 tu.