Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jide alikuwa katika shukrani km mmeona post yake, hiyo ilikuwa ni jambo la nne (4) kushukuru kwa mwaka 2016.. Anyway mi sijaona km kafanya kosa amewaambia wengine ukiamua inawezekana bila kuongopa kuonwa tofauti na jamii.. Tafuta furaha ya moyo wako sio ya waliokuzunguka..

Uko jehanamu ya dunia kabisaaaa halafu unajisifu umeolewa wakati huna amani maisha yako yoteee na inavyoonyesha hata mbeleni hutokaa uwe nayo ya kazi gani sasa

Ndo maana kanisa flani limesharuhusu talaka aiseee


Big up jide komandooo..
 
Gardner alizidi nae acha yamkute. Kila kitu bure mwenzake akienda mikoani kutafuta yeye anaonesha chaps kitandani kwa Jide. Sijui watu wengine bwana wako vipi? Anachoonesha Jide in nafasi iko wazi tujitokeze akina baba jamaa kabwaga manyanga.Ulevi bwana? Na wanaume kama mabinti.Aibu Gardner.
Mkuu usinene ukamara, mbona Kapteni ana kibarua chake kitambo au unataka kusema mshahara wote anapiga gambe bila kubakisha nyumbani? Gadner huwa hapendi kuongea ndo maana Jide anaonekana malaika lkn pengine nae ana yake ya moyoni
 
Bome-e kwanza hunijui mimi nani na sina haja ya kujitambulisha kwa mpuuzi kama ww, hujui mimi nina ukaribu gani na Gardiner kwa kifupi hatujuani. Alafu mm sio mropokaji kama ww, tuheshimiane humu wote hatujuani, wote tunatumia fake ID.
 
Duh aisee kumbe Gardner mvumilivu....Kwa kauli hizi inaonekakana JD bado mtoto saana aisee....mimi tungeachana ndani ya wiki....Arafu Mungu alivyo wa ajabu kamtandika na bakora kwa kumletea "Mnigeria"...Duh...Inaonekana pia mkono wa Gardner ni mzito saana sijui angekuwa kampata "Wambura" mwenzake leo nadhani tungekuwa tunaongeleaga "alikuwagapo" .Gardner wewe Mwanaume aisee.....
 
Uzuri gadner huwa akichoka ana toka na kibom kimoja tuu, utakuta wanao mshabikia jide hapa ndio povu linawajaa.

Sidhani kama alikuwa ana haja ya kufanya hivi, yaan vitu anavyo vifanya Jide lately ni vya kitoto.
 
Back
Top Bottom