Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
https%3A%2F%2Fimages.forbes.com%2Fforbes-worlds-billionaires-list-2023%2F16x9-billies-2023-lander-1400x844.jpg

Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8.

Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh. Trilioni 5.8 huku akiwa nafasi ya kwanza kwenye orodha ya 'Rappers' wenye pesa nyingi akichukua nafasi ya #KanyeWest aliyepoteza utajiri wa takriban Tsh. Trilioni 2. #Rihanna yuko nafasi ya 2020 akiwa na utajiri wa Tsh. Trilioni 3.2.

Ni Msanii gani wa #Tanzania unatamani afanikiwe kufikia viwango hivyo?

===
1680764102772.png
JAY-Z and Rihanna continue to run this town.
The music superstars are among the richest people in the world, according to Forbes. The outlet released its 2023 list of the planet’s wealthiest people, which includes 2,640 billionaires—from Jeff Bezos to Bill Gates.

Shawn “JAY-Z” Carter is the 1217th wealthiest man with a $2.5 billion net worth. The 53-year-old mogul, who was declared hip-hop’s first billionaire in 2019, added to his billion-dollar fortune with the recent sale of D’USSÉ. Following a highly-publicized legal battle, he sold his 50 percent stake in the cognac brand to Bacardi for $750 million, but still retains a significant ownership stake in the brand.

Hov is in good company, tied with Oprah Winfrey for the spot. His portfolio also includes Roc Nation and Armand de Brignac. In 2021, he sold a 50 percent stake in the luxury champagne brand to LVMH Moët Hennessy Louis Vuitton.

Rihanna comes in at No. 2020 with a $1.4 billion fortune. The 35-year-old businesswoman has amassed an empire with her Fenty Beauty line, which launched in 2017, and lingerie company, Savage x Fenty.

After a tumultuous year, Kanye West falls off the list. Ye was stripped of his billionaire status after adidas terminated its partnership with him in the wake of his anti-Semitic comments. He was ranked 1513 on last year’s list with a $2 billion net worth, which has since dropped to $398 million.

His ex-wife Kim Kardashian remains a billionaire at No. 2259 ($1.2B), among other celebrities including LeBron James and Tyler Perry, who tie at No. 2540.

In total, the planet’s billionaires are now worth $12.2 trillion. Elon Musk falls to No. 2 ($180B) after his acquisition of Twitter devalued Tesla shares. Bernard Arnault, CEO of luxury goods empire LVMH, is the world’s richest person with $211 billion.

RAP UP/FORBES
 
List za kubumba

kuna masheikh mashariki ya kati uko wanamiliki % kadhaa za mafuta yote yanayozalishwa duniani.

Na huwezi ujawakuta kwenye list Forbes.
List za forbes uchwara tu, ndo maana niliona ni sawa mondi alipozitukana mwaka jana kama sio mwaka juzi.

Mfano hii ya 30 under 30 wameweka madogo ambao hata hawajulikana na wanasema wana ushawishi mkubwa, ukicheki hawa madogo wana roots USA, probably labda kuna greasing mahala
 
Mtaje hata mmoja na kiasi anachomiliki.
Mzee UAE kuna watu wana hela chafu saaana.

Ushafuatilia hii banking crisis ya mwaka huu ilianzaje? Kuna benki kubwa duniani inaitwa Credit Suisse ilikua inapewa hela na waarabu wa Saudi Arabia na ndo hela walokua wanaizungusha, sasa hao waarabu wakatangaza kuacha kutia hio hela huko na kilichofuata bank kubwa duniani imeyumba balaa hadi serikali zao zikaingilia kati.

Uarabuni kuna hela chafu sana ila untracked kwa sababu sio watu wa maneno mengi, na ni family money kama tu ilivyo ya LVMH japo huyo mkuu wa LVMH anahesabiwa ila hawa waarabu hawahesabiwi
 
na ukiwa na ndugu mabazazi hawataki hata kuona kaburi lako, wanakuchoma moto kisha majivu wanapeperusha.....ni ujinga tu kuwa na mabilioni ya pesa kiasi hicho na kuna watu jirani nawe wanateseka kwa njaa, hawana pa kulala wa mavazi.
You cant help everyone.

Mbona wengi wanajitolea tu lkn shida haziishi duniani hapa, kumchukia tajiri sio solution ya umasikini, aidha kujiweka karibu nao ah kupambana mwenyewe ndo inaweza kusaidia.
 
You cant help everyone.

Mbona wengi wanajitolea tu lkn shida haziishi duniani hapa, kumchukia tajiri sio solution ya umasikini, aidha kujiweka karibu nao ah kupambana mwenyewe ndo inaweza kusaidia.
kwa nini unaingiza notion ya kumchukia? why take it personal while it doesn't concern or involve you?
 
Mtaje hata mmoja na kiasi anachomiliki.
Mkuu.

Unalinganisha natural na artificial worth?

Utajiri wa watu wa america na Europe unatokana na utashi na ubunifu ambao unaathiriwa sana na mabadiriko na matakwa ya mazingira.

Utajiri wa waaribu unatokana na natural resources. Hakuna cha innovation Wala entrepreneurship non sense inahitajika. Miaka na miaka upo na hauna hasara.
 
Back
Top Bottom