Jaribu kufikiria kuwa unalea watoto wawili aliokutelekezea ilihali mmoja sio wako bila kujua

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Shikamooni wanawake, hakika tumeshindwa namna gani tutafanya ili kuishi nanyi kwa akili

Nilimtongoza huyu mwanamke pasi na kujua. Ili nimpate haraka nikaingilia gia ya kutaka kumuoa. Akaamua kunifungukia ukweli kuwa alikwisha olewa na ana watoto wawili ambao kawatelekeza kwa baba yao kutokana na misunderstanding za hapa na pale walizokuwa nazo

Hakuwa na hiyana. Tukaingia kwenye mahusiano uchwara. Kama kawaida yangu, huwa napenda sana kufahamu mazungumzo ya watu ninaokuwa nao kwa mahusiano, kutokana na kuwa huwa ananiachia uhuru kwenye simu yake, nikaamua ku auto record calls. Siku ya jana nimeshinda na simu yake nikisikiliza mazungumzo yake ya hapa na pale mpaka pale nilipokutana na call akiwasiliana na mpenzi wake mwingine huku wakimshambulia huyo boya mwenye watoto kwa kebehi na dharau za hapa na pale, huku wakiulizana maendeleo ya mtoto wao mmoja

Kwa hiyo mwamba uko ulipo unalea watoto wawili, mmoja sio wako

Lengo sio kuleta umbea,
Lengo ni kuonesha ni kwa jinsi gani hivi viumbe tumeshindwa kuishi navyo kwa akili
 
Sasa wewe badala ya kumwambia mhusika wewe unaleta huku manake nini
?
 
😅😅😅Duuh ni hatari
 
Vip hajangundua bado asije akagundua nayeye akaja kujipiga risasi 5 za kichwaa kama yule mwamba wa [mention]6 Pack [/mention]
 
Hao viumbe hatari sana, Kuna jamaa mtaani alioa wakapata mtoto kufika miaka mitano kaja mtu kudai mtoto wake ikawa vita kubwa.
Sasa kilichoacha watu midomo wazi ni baada ugomvi mkubwa mwanamke akafunguka kuwa wote sio baba halali wa mtoto, yani baba yake ni jamaa mwingine mwanasheria.

Mme akasema wapuuzi akatimua mke mtoto akabaki nae now mkubwa yuko secondary.
 
Shikamooni wanawake, hakika tumeshindwa namna gani tutafanya ili kuishi nanyi kwa akili

Nilimtongoza huyu mwanamke pasi na kujua. Ili nimpate haraka nikaingilia gia ya kutaka kumuoa. Akaamua kunifungukia ukweli kuwa alikwisha olewa na ana watoto wawili ambao kawatelekeza kwa baba yao kutokana na misunderstanding za hapa na pale walizokuwa nazo

Hakuwa na hiyana. Tukaingia kwenye mahusiano uchwara. Kama kawaida yangu, huwa napenda sana kufahamu mazungumzo ya watu ninaokuwa nao kwa mahusiano, kutokana na kuwa huwa ananiachia uhuru kwenye simu yake, nikaamua ku auto record calls. Siku ya jana nimeshinda na simu yake nikisikiliza mazungumzo yake ya hapa na pale mpaka pale nilipokutana na call akiwasiliana na mpenzi wake mwingine huku wakimshambulia huyo boya mwenye watoto kwa kebehi na dharau za hapa na pale, huku wakiulizana maendeleo ya mtoto wao mmoja

Kwa hiyo mwamba uko ulipo unalea watoto wawili, mmoja sio wako

Lengo sio kuleta umbea,
Lengo ni kuonesha ni kwa jinsi gani hivi viumbe tumeshindwa kuishi navyo kwa akili
Hii ipo sana. Habari hii ni kama ya jamaa yangu, aliachana na mkewe na ana watoto Wawili wa kiume, mmoja sio wake na jamaa anajua ila hajawahi kumwambia mtoto na anawalea vizuri sana. Wanaishi maisha mazuri sana. Ila mwanamke aliolewa na jamaa mwingine. Sasa mwanamke anajilaumu sana na anasimulia Kwa watu bila aibu kuwa jamaa alikuwa mtu sahihi kwake ila hakujua wakati ule maana maisha anayopitia sasa ni magumu. Jamaa yangu sasa katulia ajabu na familia yake mpya.
Wanawake muda mwingine ukiona anamsema jamaa alieachana naye ama Kwa mazuri au mabaya jua kuwa anamkumbuka, hivyo anatumia njia hiyo kama kupata ahuheni Fulani.
 
Hao viumbe hatari sana, Kuna jamaa mtaani alioa wakapata mtoto kufika miaka mitano kaja mtu kudai mtoto wake ikawa vita kubwa.
Sasa kilichoacha watu midomo wazi ni baada ugomvi mkubwa mwanamke akafunguka kuwa wote sio baba halali wa mtoto, yani baba yake ni jamaa mwingine mwanasheria.

Mme akasema wapuuzi akatimua mke mtoto akabaki nae now mkubwa yuko secondary.
Duh! Wanawake Ni mashetani Kweli Kweli.
 
Huoni kua jamaa ndo kashindwa kuishi nae kwa akili halafu wewe unajumuisha na wengine.
 
Back
Top Bottom