January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,602
Kwa wenye kuweza watch EATV now!,
Mhe. January Makamba yuko live kwenye kipindi cha Mikasi kinachoendeshwa na Salama Jabir!.

Please watch it!, Salama is dam good!.
 
Amepinga posho na kupenda totos ameruka kimanga!.

Anapenda bongo fleva anamkubali sana mwana FA!.
 
Kuhusu Mwakiyembe, " niko naive na very cassual" siamini hayo mambo kuwa mtu anaweza kukuwekea....
 
pasco na wewe hueleweki sometimes'sioni kama huyu jamaa anaweza kunishawishi nikalishe makalio yangu na kumsikiliza'kama ndio wanasiasa mnaotegemea eti wa umri wetu basi tumekwisha
 
Jamaa amemalizia kwa kuzungumzia umri wa kupiga kura ushushwe mpaka miaka 15 na umri wa kugombea urais uwe 35!.
Dakika 30 zimekwisha!.
 
pasco na wewe hueleweki sometimes'sioni kama huyu jamaa anaweza kunishawishi nikalishe makalio yangu na kumsikiliza'kama ndio wanasiasa mnaotegemea eti wa umri wetu basi tumekwisha
Mwanzo nilindhania Nape ndio most promising young politician wa CCM!, kumbe sasa ni huyu Jamaa!. Most promising wa Chadema ni Zitto, most promising wa CUF ni Jussa na NCCR alikuwa Kafulila sasa ni Mkosamali!. Just take it or leave it!.
 
Jamaa amemalizia kwa kuzungumzia umri wa kupiga kura ushushwe mpaka miaka 15 na umri wa kugombea urais uwe 35!.
Dakika 30 zimekwisha!.

Nani anaweza kukubali upumbavu kama huu'walioweka umri wa miaka 18 ndio wapige kura walifanya utafiti wa kina kuhusu mwanadamu na utashi wake'ndio maana hiyo ipo dunia nzima'hivi umewahi kutembelea jimbo lake na kuona jinsi ile real povert inavyosumbua wapiga kura wake??hii nchi tuna safari ndefu sana kufika tunakotaka'yale maneno aliyoongea kikwete kuwa rais ajaye awe kijana yanawasumbua wengi'hawajui kikwete aliongea kwa sababu gani'na hawajui kwa sababu tayari wamevishwa kiburi cha uzima wakitaka makuu zaidi'sisi tuliokaa pembeni tunajua yote!
 
Back
Top Bottom