January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

Kuna story nimezikuta kwenye uzi mmoja huku JF na haya unayoyasema hapa imebid niwe na kigugumizi,ila Jr usimuweke kwenye hio list

Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Makamba anachokifanya ni "manipulation" through social engineering kwa wananchi kwa kutumia media. Amejitahidi Sana kuunda mtandao wa vijana mitandaoni wa kusifia kila anachokifanya, Ili awalaghai wananchi , ili baadaye aweze kutimiza ndoto zake.
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Wewe kijana January ana uwezo gani? Hawa wapo pale kwa mgongo wa baba yake and worse still he can not deliver to the expectation of the many
 
Siku ya 3 sasa hatuna umeme,
genereta linamaliziwa matengenezo kwa fundi, maana naona hii hali ni ya kudumu ss
 
Yeah mkuu mama anaupiga mwingi sana mkuu! Nunua na kaboksi ka mishumaa kabisa mkuu...Twende na mama mpaka 2035
 
Huyu February Malope endeleeni kumubeba lkn hana kitu bora ungemuweka bwege
 
Watigrai hawajawahi kuchukuliwa utumwa pamoja na kuwa karibu na Uarabuni

Nimeanza kuelewa ni kwanini.
 
Siyo kwa Makamba mchumia tumbo

Hata huyo Assad mbona mnasahau upes hujuma aliyofanya NSSF akiwa Mjumbe wa bodi na mwenyekiti w AUDIT committee; walifanya uwekezaji chefu chefu mwingi hivyo kupoteza fedha zilizowekezwa hadi shirika kuwa mufilisi, licha ya yeye kujiuzia nyumba ya shirika hilo hilo kinyume na taratibu!!! Usafi wake uko wapi hadi mnampamba namna hiyo?
 
Mala kumi ungeishia kwa Mbowe!

maana angalau yeye tunajua hana ilimu kubwa lakini hoja zake nyingi ni za msingi

Kama hadi makamba kwako ana akili basi wewe utakua kihiyo bila shaka.
 
Makamba angekuwa na akili na njia rahisi kwake kupata urais ni kulimalizia lile listiggler pale faster, kuendelea na programs za kuanganisha umeme vijijini, kuifanya Tanesco kuwa stable, immediately ahakikishe bei za umeme zimeshula maradufu na umeme umekuwa reliable...
 
Hata huyo Assad mbona mnasahau upes hujuma aliyofanya NSSF akiwa Mjumbe wa bodi na mwenyekiti w AUDIT committee; walifanya uwekezaji chefu chefu mwingi hivyo kupoteza fedha zilizowekezwa hadi shirika kuwa mufilisi, licha ya yeye kujiuzia nyumba ya shirika hilo hilo kinyume na taratibu!!! Usafi wake uko wapi hadi mnampamba namna hiyo?
Wewe ndiyo kweli umetoka juzi burundi.

Majumba ya serikali yaliuzwa na mwendazake na mengine kuwagiwia ndugu zake.

CAG anawezaje kuuza majumba ya serikali ?
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Bahati mnaya sana wangezaliwa japo Kenya
 
Wewe genius umetoka wapi hii nchi iliyojaa vilaza? Ndugu yangu sikukebehi ila nakuambia kweli. Huyu lengo lake ni kumpigia Makamba debe kama unavyosema. Infact Makamba ameshaanza rasmi kampeni na atafisadi sana ili kupata fedha za kuhonga. Tusishangae iwapo hapa kutakuwa na nyuzi za kumsifia kila baada ya lisaa limoja. TV na Redio karibu zote zitaanza kuimba nyimbo za kumsifia. Anautafuta urais kwa nguvu zote na hii ni hatari mno.
Bora fisadi kuliko lile genge la wahuni lilifisadi pamoja na kuua watu
 
Back
Top Bottom