chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,224
- 20,990
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama.
Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee juu ya anga letu kama wanavyotaka.
Malawi walipiga ban mahindi yetu, wamekutana na jambo lao.
Hakika Tanzania hatuishi kinyonge.
Kongole January Makamba, Tanzania imara chini ya Samia.
==
Pia soma: Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya
Alichosema January Makamba: Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3