Elections 2010 Januari Makamba ahudhuria sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana!

Basi kama ni hivyo, kila mgombea ajiamulie kwenda kwenye mdaharo. Badala ya kuamliwa na chama!! Huo ni upuuzi mtupu. Makamba, Toa kibali, anayeweza aende; anayeogopa alale mbele. :blah:
 
Haya majitu au madude ya CCM yakoje lakini???

Naona kama CCM wameshachanganyikiwa kwa kweeri wajameni. Mzee wa kisambaa na rafiki yake wa kisomali(Kinana) wamewapiga full stop wagombea wao wote kutoshiriki midahalo. Sasa huyu Januari wa kisambaa kaewa na nani ruksa ya kuhudhuria mdahalo?????

Je, anatumia jeuri ya Baba yake kwamba hata akihudhuria hakuna wa kumwuliza???

Nimwambia tu huyu Bwana mdogo wa kisambaa ambaye Baba yake anam-groom aje kuwa mrithiu wake IS TOO LATE FOR THEM CCM to start partipating in these dialogue. Wamechelewa sana na hawana hoja maana watashindwa kujibu maswali yaliyo dhaifu kabisa ya Wapiga kura.

Swali la kwanza na la pili kwa Januari Makamba itakuwa kama ifuatavyo:

  1. Kwanini CCM wamekuwa ni vigeugeu katika sera zao??Mara leo hawashiriki mdahalo mara leo wanashiriki tuwaelewe vipi???
  2. Kwanini Mwenyekiti wake wa Taifa Kikwete anawadanganya Watanzania kuwa anapambana na ufisadi ilhali wakti huohuo anawapigia kampeni mafisadi warudi bungeni ambao ni Chenge,Lowasa,Mramba na Rostam?
  3. Kwanini Mbunge aliyemaliza muda wake Mh. Shelukindo ambaye aliongoza Kamati ya Uchunguzi wa Richmond hakupitishwa na NEC ya CCM badala yake akapitishwa yeye Januari?
  4. Je,yeye kama msambaa anayegombea jimbo la Bumbuli saa hizi anafanya nini huko Jijini badala ya kuja kuimarisha Kampeni za Urais kwenye jimbo lake?
 
Back
Top Bottom