Elections 2010 Januari Makamba ahudhuria sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana unaendela "live" hapo EATV na Januari Makamba yumo kinyume cha maagizo ya baba yake Bosi wa CCM kuwa CCM haitahudhuria midahalo hiyo! Hili sakata linanikumbusha kitabu cha "animal farm."

Some animals are more equal than others
 
Huyo ndo msomi wao mahiri, mwandishi wa raisi. Wameamua kuachia baada ya kuona mambo yanakwenda kombo kwa kukacha midahalo?
 
Kaka tuwekee kwenye utube na sisi tuliombali tuweze kupata huo uhondo kaka.

Natanguliza shukrani kaka...

Sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana unaendela "live" hapo EATV na Januari Makamba yumo kinyume cha maagizo ya baba yake Bosi wa CCM kuwa CCM haitahudhuria midahalo hiyo! Hili sakata linanikumbusha kitabu cha "animal farm."
 
wanavyombana mbavu hata hapumui!anakuja na zile za ki-ccm eti ilani zote wanazoongelea CCM ishazitimiza. binamuuu,mwishowe utajiharibia,wazee ndo maana walikimbia ngoma imebamba!
 
Yani hawa ccm hawana jipya, atakae wapa kura mie ntamwona ni ***** na ameridhika na maisha ya unyanyaswaji,
 
sitaki kuiwasha TV yangu leo, maana kama huko EATV yupo januari Manyuzi, kule TBC1 wapo walevi wa TLP wanabwabwaja hawajui waongealo mpaka mtangazaji anaonekana kana kwamba anagombea yeye.
Tanzania tuna wanasiasa wa kweli na wengine ni uchwara, wasindikizaji na wanaopunguza kura za wengine.

Nimehamia MGM nacheki muvie huku natafuna popcorn zangu na juisi ya tikitimaji.
 
wenye kujua sera ya chama ni ya mfalme wetu hivyo mama na mtoto wangeenda huko vyama pinzani wangekimbia
 
wanajamvi mnasahau kitu kimoja muhimu, Januari Makamba amekubaliwa (au ameamua) kuhudhuria mdahalo huo wa jumla jumla kwa sababu hana cha kupoteza. Januari ni mmoja wa wabunge katika kundi la 'waliopita bila kupingwa', hivyo hana cha kutetea wala cha kupoteza, hamna jipya hapo.
 
hata kama amepita bila kupingwa,tutasikia huku wengine tulio mbali sera za chama chake,
 
Huu ukada pofu unatisha...Yaani wasipohudhuria ni kosa, wakihudhuria ni dhambi.....

What a new Tanzania you wish us to have!!!!
 
Mwezi wa Kwanza inabidi apigwe warning kwa kukiuka agizo la CHAMA
 
Hawa CCM lazima wawe wamekengeuka na maamuzi yao yaani wana CCM wengine hawawezi kufanya kitu kwa hiari yao mpaka awe mtoto wa katibu mkuu au rahisi picha gani wanayotoa ya matabaka
 
Hawa CCM lazima wawe wamekengeuka na maamuzi yao yaani wana CCM wengine hawawezi kufanya kitu kwa hiari yao mpaka awe mtoto wa katibu mkuu au rahisi picha gani wanayotoa ya matabaka
ccm imepoteza mwelekeo
 
Nikupoteza muda tu kumualika huyu mjamaa popote at the end of the day ni chui tu tena asie hitaji hata kujivika ngozi ya kondoo. Do we honestly believe he will offer an alternative to the status quo, considering he is a product of that same problematic system.

Baba yake ni party whip ambae kila mara uja na kimbelembele cha kukemea those who go against fisadi lines do we actually expect his son to represent anything different. Sana sana atasaidia huko Bumbuli kujijengea ubunge wa muda mrefu kama mafisadi waliomtangulia wanavyofanya sehemu zingine. As for offering our nation innovative ideas, i dont just doubt him but I know it is impossible even if he wanted to.

For a fact an average MP will be scared to go against party lines itakuwa mtoto wa fisadi aliefaidika na mfumo mmbovu do we actually believe this January to against the likes of Lowassa (i dont think so) and if not what should we expect from him.

At the end of the day we can not go anywhere if we do not fight corruption regardless of sounding policies proposed and i do not see January fighting for the former, perhaps the latter. Which is just pathetic because the real problem is with the corruption thats where our problems begin, a system benefitting a handful of people due to mismanagement. We already have some good policies but the spendthrift together with corruption the end results are bound to be renege.
 
Yani hawa ccm hawana jipya, atakae wapa kura mie ntamwona ni ***** na ameridhika na maisha ya unyanyaswaji,

***** mwenyewe weee. Kupiga kura ni maamuzi ya mtu. Hata akimpigia Hashim Rungwe, huo ni uamuzi wa mtu binafsi. :hand:
 
Back
Top Bottom