Janga Usajili wa NGO

unimaginable

Member
Jan 31, 2017
14
13
Habari zenu wadau wa JF.

Kuna kero ya usajili wa NGO katika wizara ya Maendeleo ya Jamii. Ni wiki ya 2 sasa toka nimeanza kujaribu kulogin kwny mfumo wao wa usajili bila mafanikio.

Ukiwapigia simu wanatoa majibu mepesi eti tatizo linashughulikiwa, sasa unajiuliza wiki mbili watu hatuwezi ingia kwenye mfumo then majibu ni bado tunashughulikia. Hivi nahitaji muda gani kutatua tatizo kama hili kwa watu wa IT?
 
Back
Top Bottom