kuku dume
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 414
- 62
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Songea(Ruvuma) kiliongoza wanachama na wananchi wa Songea katika maandamano ya kupinga udhalimu unaofanywa na Tanesco Songea. Hii ilitokana na ukosefu wa umeme kwa mda mrefu pasipo wenye nchi kutaarifiwa.
Maandamano yalifana.
Nilitamani kuja live lakini vifaa vyangu vyote vilikuwa off-charge. Hii ilitokana na kukosekana na umeme kwa mda wa siku tatu hivi.
Maandamano yalifana.
Nilitamani kuja live lakini vifaa vyangu vyote vilikuwa off-charge. Hii ilitokana na kukosekana na umeme kwa mda wa siku tatu hivi.