Jamuna bridge

pula

Member
Jan 23, 2011
35
2
Photo0448.jpg
Leo nimebahatika kutembelea daraja hili lililopo nchni bangladesh.Lina urefu wa 4.8km likijuisha jumla ya span 49. Daraja hili ni kwa ajili ya magari na treni. Lilianza kujengwa Oct 94 hadi Jun 98. Daraja hili ni chanzo cha mapato ya wananchi wa bangladesh.Kila gari linalopita linalipia ushuru.kweli kuna nchi ni maskini ila wako serious na mipango ya maendeleo yao.
 
Back
Top Bottom