S salim2013 Member Apr 3, 2013 26 15 Jul 11, 2016 #121 Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,069 8,327 Jul 12, 2016 #122 salim2013 said: Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla Click to expand... Mkuu nime-upgrade tu nilikua na iPhone 6, na hiyo app ilikua ipo iStore lakini baada ya kuwa na hii 6s ndio siioni tena
salim2013 said: Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla Click to expand... Mkuu nime-upgrade tu nilikua na iPhone 6, na hiyo app ilikua ipo iStore lakini baada ya kuwa na hii 6s ndio siioni tena
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,069 8,327 Jul 12, 2016 #123 Ok naona mme-merge na hii post its fine, lakini mbona hamjatoa jibu?
tonge nyama JF-Expert Member Jul 28, 2008 380 498 Aug 25, 2016 #125 Mods tayari mmesha hamia Dodoma nini?