JamiiForums imebadilisha maisha yangu kiuchumi

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Kwanza nianze kwa kusema mungu awabariki waanzilishi wa huu mtandao kwa kweli mmesadia watu wengi na wachangiaji wake wote kuna solidarity moja humu ya kipekee sana

Nimeamua Leo kutoa Ushuhuda kuhusu jinsi mtandao huu umenisadia sana kufanya mapinduzi ya kimaisha (hata kama sio makubwa sana)

Nakumbuka baada ya kuhitimu chuo kikuu 2014 nilipata kigugumiz fulani hasa nitaishi vipi hapa mjini kwa kuangalia sikuwa kazi na upatikanaji wa kazi kama mnavyojua hali ilivyo sasa na pia sikuwa na mtaji wala nini na hapa Dar sina cha ndugu wala nini, nikiwa mwenye mawazo mazito hasa baada ya kusumbuliwa sana kodi ya chumba na mwenye nyumba huku nikiwa sina hata 5 mbovu , siku hiyo nikaamua kulog in jf angalau nijiliwaze tu maana nilikuwa sio active sana kwa sababu ya masomo kunitinga muda mwingi japo nimejiunga JamiiForums tokea 2011.

Nakumbuka nilikutana uzi fulani kuhusu mambo ya ujasiriamali vile UNAWEZA mbinu za mawazo kutoka kuwa wazo hadi kuwa pesa, nilijifunza vingi siku na nakumbuka nilipitia kuhusu mambo ya matatizo ya mapenz na mahusiano .

Kiutani utani nikaanzisha mada fulani nakumbuka ilikuwa ni facebook nikasema acha leo nitumie ujuz wangu wa jandoni kutoa elimu ya mahusiano na kuboresha ndoa za watu. Nikaweka ada ya 2000 tu huwezi amini nilipata watu kama 80 hivi kwa siku ile mungu wa ajabu sana nikafundisha kama wiki wastani nilikuwa sikosi watu 50 kwa siku, nakumbuka nililipa kodi ya chumba na mengine kibao na kupata ka mtaji ka kufanyia mambo yangu japo baadaye nilihamishia mada zangu Instagram.

Kwanini nimeamua kusema hivi hapa jf ni kisima cha maarifa na mbinu zote ni vile ukiwa serious kuchukua mawazo ya watu hasa yale yenye kujenga na ukawa na akili ya kujiongeza kidogo utafanikiwa tu hapa kuna kila aina ya ujuzi upo hata ukitaka kuwa mchawi wakubwa zangu wakina mshana jf na mzizimkavu wapo.

Wale wenzangu na mimi mnaokuwa na changamoto mbali mbali hebu msisite kutumia JamiiForums kama mkombozi wenu mtafanikiwa tu.

Asante
 
Kwanza nianze kwa kusema mungu awabarik waanzilishi wa huu mtandao kwa kwel mmesadia watu wengi na wachangiaji wake wote kuna solidarity moja humu ya kipekee sana

Nimeamua Leo kutoa Ushuhuda kuhusu jinsi mtandao huu umenisadia sana kufanya mapinduz ya kimaisha (hata kama sio makubwa sana)

Nakumbuka baada ya kuhitimu chuo kikuu 2014 nilipata kigugumiz flan hasa ntaishi Vp hapa mjini kwa kuangalia sikuwa kaz na upatikanaji wa kaz kama mnavyojua hali ilivyo sasa na pia sikuwa na mtaji wala nin na hapa Dar sina cha ndugu wala nin . nikiwa mwenye mawazo mazito hasa baada ya kusumbuliwa sana kodi ya chumba na mwenye nyumba huku nikiwa sina hata 5 mbovu , siku hiyo nikaamua kulog in jf angalau nijiliwaze tu maana nilikuwa sio active sana kwa sababu ya masomo kunitinga muda mwingi japo nimejiunga jf tokea 2011

Nakumbuka nilikutana Uzi flan kuhusu mambo ya ujasiliamali vile UNAWEZA mbinu za mawazo kutoka kuwa wazo had kuwa pesa .nilijifunza vingi siku na nakumbuka nilipitia flan kuhusu mambo ya matatizo ya mapenz na mahusiano .

Kiutani utani nikaanzisha mada flan nakumbuka ilikuwa ni fb nikasema acha leo nitumie ujuz wangu wa jandon kutoa elimu ya mahusiano na kuboresha ndoa za watu. Nikaweka ada ya 2000 tu huwez amin nilipata watu kama 80 hiv kwa siku ile mungu wa ajabu sana nikafundisha kama wik wastan nilikuwa sikos watu 50 kwa siku . nakumbuka nilipa kodi ya chumba na mengine kibao . na kupata ka mtaji ka kufanyia mambo yangu . japo baadaye nilihamishia mada zangu Instagram.

Kwanin nimeamua kusema hiv hapa jf ni kisima cha maarifa na mbinu zote ni vile ukiwa serious kuchukua mawazo ya watu hasa Yale yenye kujenga na ukawa na akil ya kujiongeza kidogo utafanikiwa tu . hapa kuna kila aina ya ujuz upo hata ukitaka kuwa mchawi wakubwa zangu wakina mshana jf na mzizimkavu wapo.

Wale wenzangu na mim mnaokuwa na changamoto mbali mbali hebu msisite kutumia jf kama mkomboz wenu mtafanikiwa tu.

Asante
Huu ni ushuhuda au ni promotion?
 
kichakaa man

WELL DONE MY BROTHER, I'M VERY HAPPY FOR YOU.

ULIPATA FEEDBACK ZOZOTE ZILIZOKUFANYA UENDE INSTA?

I WILL BE VERY HAPPY TO MENTOR AND ADVICE YOU (FREE OF CHARGE) !!!!

UWE NA X-MAS NJEMA

Huu ni ushuhuda au ni promotion?
Sio promotion najaribu kuonesha kuwa kupitia mawazo ya humu niliweza kuibuka na idea hiyo
Kiufup matatizo yako wewe ni mtaji kwa mwingine mfano

Kampuni za madawa zisingekuwepo kama hakuna magonjwa n.k

Tumia vyema ushaur wa humu ndan watu wapo smart sana kutoa mawazo ya ki maendeleo
 
kichakaa man

WELL DONE MY BROTHER, I'M VERY HAPPY FOR YOU.

ULIPATA FEEDBACK ZOZOTE ZILIZOKUFANYA UENDE INSTA?

I WILL BE VERY HAPPY TO MENTOR AND ADVICE YOU (FREE OF CHARGE) !!!!

UWE NA X-MAS NJEMA

Kaka kule NDIYO kuna biashara ZAID kuliko hata Facebook sasa HIV na bado nipo huko had sa HIV . karibu PM tunawexa kuongea ZAID asante mkuu
 
Uliza tu hapa hapa kwa lengo la wengine kujifunza pia(japo ntajibu kulingana na aina ya swa lilivyo)

HONGERA SANA KWANZA KWA MANIKIO ULIYOPATA NA KUCHUKUA HATUA SANIFU ILI KUFANIKISHA AZMA YA MAISHA YAKO.

NAOMBA NIKUULIZE CHUO KIKUU ULICHUKUA MASOMO GANI?

BADO UNAENDELEA KUTOA SEMINA AU UMEACHA?

NA KAMA UNAENDELEA STILL UNATUMIA THE SAME CONCEPT AU UMEBADILI?

NA NI DAR-ES SALAAM TU UNAFANYIA HIZO SEMINA AU NA MIKOANI?

KAMA NI DAR-ES SALAAM ULISHAFIKIRIA KUFANYA MIKOANI?

NIKUULIZE MSWALI HAYO KWANZA ILI NIPATE MWANGAZA THEN NIKUSHAURI MAWILI MATATU SABABU HICHO HICHO UNACHOFANYA UNAWEZA KU-MAKE A GOOD LIVING LIFE.
 
Chuo nimesoma koz bachelor of insurance & social protection . ifm(japo maisha yangu na still huwa nataman zaid kusoma psychology sikupata tu chance ya kusoma koz hiyo) japo pia nasoma na nimejiunga na koz mbali mbali za online ili nizid kuongeza uelewa kuhusu mahusiano na kutatua shida zak na kuhusu kwenda mikoan bado kuna challenge nyingi kuandaa semina kidogo ni gharama kwahiyo had kupata wadhanin ila natumia zaid mitandao ya kijamii na WhatsApp kuendesha online seminar kwa malipo.

Mikoan sijaenda bado

Kwa kipind ambacho nimekuwa naendesha hiz seminar nimejifunza mengi sana .
Ndoa zina siri nzito sana na wana ndoa wanatembea na mizigo mikubwa vichwani mwao kupita Maelezo
 
SAWA SAWA NIMEKUELEWA KWENYE SWALA LA ELIMU, NINGEKUSHAURI UJIKITE ZAIDI KWENYE USOMAJI WA VITABU KUJIONGEZEA UELEWA WA MASWALA YA MAISHA IN GENERAL.

PILI JARIBU KAMA KUNA NAFASI YA WEWE KUWATUMIA WALE WATU WALIOUDHURIA SEMINAR ZAKO WATAKATOA MAONI YAO JUU ZA SEMINAR ZAKO? HII YOTE NI KUKUJENGEA PROFILE? PIA JIZATITI KWENYE REFERRALS.

TATU ZIDISHA BIDII KWENYE KUONGEZA IDADI YA WATU NIKIWA NA MAANA HATA KULE FACEBOOK USIPATUPE PIGA KOTE KOTE. JARIBU PIA KUTUMIA SKYPE ILI KUONGEZA UPANA WA UWAKILISHI WAKO.

NNE KWA KUWA UMESHAJUA GHARAMA ZA ZINAZOHITAJIKA KUWEZA KUFANIKISHA SEMINAR ZAKO KIUASILIA. NINGEKUSHAURI KUWA FOCUS KWA HILO SABABU KUTAKUWA NA NJIA ZAIDI YA TATU ZA KUKUINGIZIA MAPATO ZAIDI UKIWEZA KUFANIKISHA HILO.

THINK BIG!!! SABABU UMESHAJARIBU NA UMEWEZA USIRUDI NYUMA NDUGU YANGU, NG'ANG'ANA, SHIKILIA HAPO HAPO. NINAONA JINSI GANI UTAFIKA MBALI NA UNACHOKIFANYA.

HAPO NIMEKUELEZEA JUU JUU TU FANYIA KAZI HAYO MACHACHE NA KAMA UKITAKA MAELEZO ZAIDI USISITE-

ALL I WANT TO CELEBRATE YOU AND MAKE YOU PROUD OF YOURSELF, TAIFA HILI LINATAKA VIJANA KAMA NYINYI

NA KAMA KUNA CHOCHOTE UNACHOONA KINAHITAJI USHAURI WA KIBIASHARA (SIYO WA NDOA):D:)!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom