Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,087
Basi nawe kwa pozi mpaka wenzio wakupore.
wakupore wewe me nipo? Hapa takalika nadhani sasa hivi mathematics kaisha jinyonga
Basi nawe kwa pozi mpaka wenzio wakupore.
wakupore wewe me nipo? Hapa takalika nadhani sasa hivi mathematics kaisha jinyonga
kitambo chote hicho chooni?????
Chooni ndio sehemu yenye starehe kuliko zote nyumbani.
Chumbani,bafuni,sebuleni swaga tu.
tupumzike beib maathematics kakimbia,tujiandae kuzindua shuka lingine j.tatu
Jtatu walimu wanaanza mgomo
Sana mawazo Nimepata lini nitafikisha Miaka 55 Nipate mafao yangumgomo hawauwezi kwani ni waoga sana.
yangu macho mie nasubiri nikuone hapo utakapo kuwa na hiyo miaka 55, nadhani na dudu litaacha kuwasha.Sana mawazo Nimepata lini nitafikisha Miaka 55 Nipate mafao yangu
yangu macho mie nasubiri
nikuone hapo utakapo kuwa na hiyo miaka 55, nadhani na dudu litaacha
kuwasha.
Atatuliaje wakati ana taka kukunwa?Kuwasha washa kunam-keep busy sana. Bora liache atatulia.
Kukunwa ni muhimu hasa ukiwa urijali.Atatuliaje wakati ana taka kukunwa?
Urijali ndo kila ki2 kwa mtoto wa kiume coz unawez ukaw una pesa, handsom bt wanaume wenzako wankupumulia mgongoni.
mgongoni tena? Da sina usemi!
usemi? kama vp badae
Baadae...! No ni baadaye..badae au baadae?
Baadae...! No ni baadaye..