Wadau.
Nimekuwa nikitumia browser kusafu jamii forums kwenye simu yangu bila shida yoyote japokuwa kuna limitations mbalimbali lakini nafikiri kuwa inafanya vizuri. Sasa juzi si nikapata bahati kuinstall Jamii forums for android kwenye simu yangu. Kwa kweli ni mwanzo mzuri ila naomba nitoe mawazo yangu kwa mambo ambayo nafikiri yakiwekwa au kurekebishwa itakuwa vizuri sana. Nimeweka hapa natumaini kuwa wadau wengine pia wataweka mawazo yao na kupata kitu kizuri.
Kwa kuwa hii ni mobile app naomba it should not be a clone of a web as we already have a Jamii forums web for mobile. Instead it should exploit the real power of smart phone and other mobile devices.
Ili kuwasaidia waumbaji wa hii app mimi natumia Samsung galaxy s2 hivyo ni android 2.3
3. Kubadili kati ya majukwaa ni shida sana hapa naomba lirekebishwe.
4. Searching should be there. Pia naomba mtumie powerfull fulltext search engine.5. Online users.
Sio lazima sana ila itapendeza sana kwa mfano natembelea uzi Fulani kwa kuwa kuna majina ya mtu aliyechangia kwa kila jibu basi kama huyo mtu yuko online basi jina libadilike rangi kuwa kijani.
6. Subscription
Naamini kuna notification kama mtu atasubscribe. Sasa nafikiri kama nitacomment thread Fulani basi niwe subscribed automatically. Ila naweza kuunsubscribe. This behavior should be changeable through settings.
User should be able to see list of subscribed thread.
7. Notifications.
One should be notified when gets new Private message, His/Her message gets replied. This behavior should be changeable through settings
Uploading attachments should be simple.
8. User oriented.
Since user can surf jamii forums through computer then later through mobile device I propose there should be synchronization in all devicesI use let say In my computer I last time surfed certain thread. When later I open the app it should straight open where I ended last in my computer.
Another example of this is that. When I am surfing in my computer I get a new PM and I read it. Later when I open the mobile device I should not a notification of a new PM message, This behavior should be the same even for threads
9. Offline
User can make a cache of a certain threads and have it downloaded in his device in case he goes out of network.
10 . Cross platform
Naomba tutengeneze app kwa ajili ya Ios( e.g Iphone na Ipad ) , Android na Windows Phone , na pia kwa ajili ya Windows 8 Metro
Hii inaweza ikawa challenging ila kuna njia mbili ninazoziona
2. Kuna frameworkds ambazo zinaweza kutusaidia kutengeza kwa IOS, Android and Windows Phone at the same time. Niko tayari kusaidia
11. Sexy
Here I mean that instead of having a reply button one can long press the another person's message and just a menu appear with these options Reply, Report Abuse,Send PM, Save to favourites,Select all.
If a long press my message there a menu pops up with these option Attach file ( opens my files automatically) ,Attach picture ( Opens gallery), Take picture ( Opens camera), Discard, select all.
Kama kuna mengine au mawazo tofauti wadau tuchangie

- Nikirun hii app na kufungua thread baadhi imekuwa ikicrash sijui kwa nini. Yawezekana thread ni ndefu sana au labda ni fupi au labda kuna baadhi ya herufi zinaisumbua app. Naomba mliangalie.
- Nikilogin kwenye app halafu nikasaf weeee! kisha nikabonyeza back button ya simu yangu itarudi kwenye previous page mpaka mwisho itaniambia ‘do you want to log out'. Shida yangu ni hilo swali ,kwa kuwa nimelog in kwenye app hakuna haja ya kuniuliza kwani nia yangu kubonyeza back huwa inakuwa sio kulog off.
- Napendekeza user akiizima app yake basi ilogout automatically ila akija tena wakati mwingine ilogin automatically isipokuwa kama wakati ulipita alilog off.
- Kama app haitumiki japokuwa ina run basi ilog off ila baada ya muda Fulani basi user akiitumia ilog in .
3. Kubadili kati ya majukwaa ni shida sana hapa naomba lirekebishwe.
4. Searching should be there. Pia naomba mtumie powerfull fulltext search engine.5. Online users.
Sio lazima sana ila itapendeza sana kwa mfano natembelea uzi Fulani kwa kuwa kuna majina ya mtu aliyechangia kwa kila jibu basi kama huyo mtu yuko online basi jina libadilike rangi kuwa kijani.
6. Subscription
Naamini kuna notification kama mtu atasubscribe. Sasa nafikiri kama nitacomment thread Fulani basi niwe subscribed automatically. Ila naweza kuunsubscribe. This behavior should be changeable through settings.
User should be able to see list of subscribed thread.
7. Notifications.
One should be notified when gets new Private message, His/Her message gets replied. This behavior should be changeable through settings
- When returning to the thread next time I should be focused to the last reply I read previous time.
- Media
Uploading attachments should be simple.
8. User oriented.
Since user can surf jamii forums through computer then later through mobile device I propose there should be synchronization in all devicesI use let say In my computer I last time surfed certain thread. When later I open the app it should straight open where I ended last in my computer.
Another example of this is that. When I am surfing in my computer I get a new PM and I read it. Later when I open the mobile device I should not a notification of a new PM message, This behavior should be the same even for threads
9. Offline
User can make a cache of a certain threads and have it downloaded in his device in case he goes out of network.
10 . Cross platform
Naomba tutengeneze app kwa ajili ya Ios( e.g Iphone na Ipad ) , Android na Windows Phone , na pia kwa ajili ya Windows 8 Metro
Hii inaweza ikawa challenging ila kuna njia mbili ninazoziona
- Jamii forums watengeneze API ( Application programming interface ) ambayo itafanya jamii forums iwe open halafu third party can make their applications using the api.