Jamii forum nipokeeni

NTUNYO

New Member
Jan 13, 2011
2
0
Naomba mnipokee katikaJamii forum ili niweze kujiunga katika kubadilishana mawazo na kutumia jamii forum kama jukwaa langu la kutolea kile ninachoamini kuwa kitachangia katika kuijenga Tanzania na jamii yake na hata Afrika Mashariki kwa ujumula wake.....
 
karibu, tumi lugha nzuri, uwe mpole mkaribu and very wise. usipinge kama huji just uliza kwa sauti ya chini na ya unyenyekevu.
asante.
 
Naomba mnipokee katikaJamii forum ili niweze kujiunga katika kubadilishana mawazo na kutumia jamii forum kama jukwaa langu la kutolea kile ninachoamini kuwa kitachangia katika kuijenga Tanzania na jamii yake na hata Afrika Mashariki kwa ujumula wake.....

Sikiliza, kwenda zako huko!

Upokelewa kwani wewe nani?

NTUNYO? bora ingekuwa Ntuni? tungejuwa ni Msingapore (Mnyaturu), lakini Ntunyo? au ndio Wahanya Ntuni?
 
Sikiliza, kwenda zako huko!

Upokelewa kwani wewe nani?

NTUNYO? bora ingekuwa Ntuni? tungejuwa ni Msingapore (Mnyaturu), lakini Ntunyo? au ndio Wahanya Ntuni?

Why all this????????????
Mi nadhani hii ni Member Intro Forum, yeye ameomba kupokelewa kama wewe hukuona yeye si mtu anayestahili kupokelewa ungem-PM au kuwaandika ma MOD stating all the valid reasons why you think he/she doesnt deserve a welcome. Sio kutuchafulia forum na kuanika your lack of wisdom.

Kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, yaani wewe tangu 2007 umekua humu lakini hujakua kimawazo, hujastaarabika au hata kujapunguza ujinga wako by an inch. Your just a loser... a big one...

Huwa nafatilia sana posts zako... sometimes I think your trying too hard to be singled out, or to look different, and in the process you end up exposing how stupid and irrelevant you can get. just quit, that wont work, hio haikua post iliyohitaji maoni yako...it was an introduction, u needed to say ur welcome OR shut up.

NTUNYO nwaego ur welcome...feel at home. Huyu mjinga aliyebother kutumia keyboard yake kukujibu anamaanisha kapenda hilo jina...waweza mwachia kama vipi, Somo ambalo nakuachia: Humu jamvini kuna kila aina ya watu even time wasters wapo...kama huyo so most times just ignore them until the need arises.

zomba
KWASABABU UPO KARIAKOO WHETHER UKO KIJIWENI AU UNADUKA UNAONA NDO UKO MBINGUNI...HIZO NI DALILI ZA KIPOFU KUONA MWEZI... THIS IS WHEN EDUCATION BECOMES VERY NECESSARY. AND FYI, AM WATCHING YOU.
 
Sikiliza, kwenda zako huko!

Upokelewa kwani wewe nani?

NTUNYO? bora ingekuwa Ntuni? tungejuwa ni Msingapore (Mnyaturu), lakini Ntunyo? au ndio Wahanya Ntuni?

Ficha upumbavu wako na uonyeshe hekima yako.
Inaelekea hata nyumbani kwako wageni wanapata shida sana.

Mkuu NTUNYO karibu sana jukwaani, hapa utakutana na watu wenye busara zao ambao daima kwao kusikiliza,kuchangia kwa hoja,kusaidia kimawazo,kutoa ushauri ndio msingi wao mkuu.
Pia kuna wale ambao upeo wao wa ufahamu na kuchanganua mambo upo chini ya zero, mfano huyo "aliyekukaribisha"
 
Karibu sana jamvini, HEKIMA BUSARA naomba vikutawale.
Epuka jazba.

Karibu tena.
 
System At Work
progress.gif
Hiyo signature yako imeficha mengi! Kweli system iko kazini, lakini kazi gani hiyo?

Mkuu karibu sana usimsikilize Zomba
 
karibu ila tambua kuwa kuna watu wengine ni great sinkers hivyo wasikupotezee muda.
 
Sikiliza, kwenda zako huko!

Upokelewa kwani wewe nani?

NTUNYO? bora ingekuwa Ntuni? tungejuwa ni Msingapore (Mnyaturu), lakini Ntunyo? au ndio Wahanya Ntuni?

Kaka/Dada Ntunyo
inatakiwa uwe mvumilivu humu kuna 'Karakta' wa kila aina
 
Wana JF, nadhani hamjuwi kusoma between the lines. Hilo jina ni la watani wangu wa jadi, na hapo sikumaanisha vibaya, kama hamjalijuwa hilo, naomba mnisamehe, Ntunyo karibu sana.
 
Why all this????????????Mi nadhani hii ni Member Intro Forum, yeye ameomba kupokelewa kama wewe hukuona yeye si mtu anayestahili kupokelewa ungem-PM au kuwaandika ma MOD stating all the valid reasons why you think he/she doesnt deserve a welcome. Sio kutuchafulia forum na kuanika your lack of wisdom.Kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, yaani wewe tangu 2007 umekua humu lakini hujakua kimawazo, hujastaarabika au hata kujapunguza ujinga wako by an inch. Your just a loser... a big one...Huwa nafatilia sana posts zako... sometimes I think your trying too hard to be singled out, or to look different, and in the process you end up exposing how stupid and irrelevant you can get. just quit, that wont work, hio haikua post iliyohitaji maoni yako...it was an introduction, u needed to say ur welcome OR shut up.NTUNYO nwaego ur welcome...feel at home. Huyu mjinga aliyebother kutumia keyboard yake kukujibu anamaanisha kapenda hilo jina...waweza mwachia kama vipi, Somo ambalo nakuachia: Humu jamvini kuna kila aina ya watu even time wasters wapo...kama huyo so most times just ignore them until the need arises.zombaKWASABABU UPO KARIAKOO WHETHER UKO KIJIWENI AU UNADUKA UNAONA NDO UKO MBINGUNI...HIZO NI DALILI ZA KIPOFU KUONA MWEZI... THIS IS WHEN EDUCATION BECOMES VERY NECESSARY. AND FYI, AM WATCHING YOU.
mwambie mkuu, maana naona amekurupuka tu!
 
Naomba mnipokee katikaJamii forum ili niweze kujiunga katika kubadilishana mawazo na kutumia jamii forum kama jukwaa langu la kutolea kile ninachoamini kuwa kitachangia katika kuijenga Tanzania na jamii yake na hata Afrika Mashariki kwa ujumula wake.....
karibu mkuu, hapa umefika kiumbe wewe, kwa mikono yote i tell karibu feel at home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom