SoC03 Jamii bila rushwa inawezekana

Stories of Change - 2023 Competition

issaka

Member
Jun 24, 2023
12
16
Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa huduma, mtoa anaweza kuwa muajiliwa wa serikali au mtu binafsi.

Haya ni maarifa ambayo mtu anapata darasani au mazingira yake kawaida ambayo yanamzunguka au nyumbani anakoishi kulingana na watu waliomzunguka juu ya namna ambayo jamii yake inapiga vita rushwa, mfano ni jukumu langu na lako kupiga vita rushwa au na jamii husika.

Katika hatua hii niliyofikia ya elimu nimefundishwa mengi darasani hata pia kwa jamii yangu inayonizunguka na naendelea kujifunza juu ya masuala mazima rushwa, sababu zake na mazara yake kwa jamii yeyote mfano mafunzo hayo kutoka klabu mbalimbali za kupambana na kuzuia rushwa sekondari hadi vyuoni pia darasani ambapo rushwa inafundishwa kama mada kwenye kozi mfano Sayansi ya siasa na Utwala, pia sekondari katika somo la Uraia.

Nimepata maarifa haya shuleni asilimia kubwa, katika kupata haya maarifa jambo ambalo lilinikera na kuendelea kunikera kuhusu rushwa, ni namna ambayo askari wa barabarani wanapokea rushwa kutoka kwa waendesha daladala pia waendesha pikipiki, nimetumia usafiri huu wa daladala takribani miaka mitatu sasa kuelekea mwishoni mwa masomo yangu.

Nimepanda daladala kutoka Kawe kuja njia panda Mawasiliano na vituo vingine vya magari mfano kutoka Kawe kwenda Mbezi, na MB Rangi 3. Kabla ya kituo husika utawakuta hawa askari wa barabarani watasimamisha gari baada ya hapo konda au dereva atashuka kwenye gari, cha kushangaza ni kuwa jukumu la askari barabarani ni kuhakisha usalama wa gari lenyewe lakini hawafanyi hivo, swali la kujiuliza wamewekwa barabarani ili wapewe rushwa au kukusanya mapato?

Jibu ni hapana, baaada ya dereva kushuka au konda atazunguka nyuma ya gari, pembeni au mbele, na askari anajidai anbofya efd mashine kumbe anapatiwa pesa, Tafsiri yake hii ni ipi? Inawezekana mtoaji akachukulia ni kiasi cha pesa kidogo, lakini kitaalamu hii ni rushwa ndogondogo na yenye kuleta na kutengeneza mazingira ya rushwa kubwa, fikiria huyu askari akapewa nafasi kubwa baadae serilkalini mfano afisa utumishi atapokea ruswha na kuleta madhara makubwa.

Nimeshuhudia haya kwa macho yangu na naendelea kuyashuhudia wakati nikiwa kwenye usafiri wa daladala, sasa chakufikilia ni kwamba yapo magari mangapi ambayo yanatoka kawe kwenda mbezi? Jibu ni magari mengi we fikiria yamepita magari ishirini kiasi kikubwa cha ela kitakuwa kimekusanywa, la hasha! sio magari tu yanayotoka Kawe kwenda Mbezi, hata na vituo vingine wanafanya hivo, kwa macho yangu nimeona hili, mfano magari yanayotoka Bunju kuja Kawe, kabla ya hayo magari kupinda kuja Kawe kuna maeneo mfano DAWASA KAWE, hawa askari wanakaa pale na kufanya hivyohivyo, sasa fikiria yeye askari ana mshahara baada ya mwezi na konda au dereva watategemea kile wanachokipata kwa siku kutokana na wasafiri wa siku hiyo sio swala la uzalendo na uwajibikaji katika nafasi zao za kulitumikia taifa letu na pia ni mmonyoko wa kimaadili kwenye utendajia wao wa kazi.

Ni jambo ambalo linashangaza mno, kwa sababu gani konda au dereva akimaliza kutoa hiyo ela unaona kabisa anafurahi hata hashtuki kuwa jambo ambalo amefanya sio uzuri katika ujenzi wa jamii hata taifa kwa ujumla, hata kwa askari wenyewe wakisahapokea utaona wanaendelea kusimamaisaha magari mengine na kuchukua ela yaani kwa ufupi umekuwa kama utamaduni wao wa kila siku wakiingia kazini na wametenga siku maalumu za kukaa kwenye hivyo vituo, sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hawa askari kwa sasa wanasaidiana na mamlaka za kukusanya mapato Tanzania kwenye kukusanya mapato? Jibu ni hapana kwa sababu ukusanyaji mapato ni kwa zile taasisi zenye mamlaka juu ya kukusanya mapato tu kutoka mamlaka ya ukusanyaji mapato Tanzania na sio hawa askari wa barabarani.

Ni jambo ambalo linaleta msononeko kwa abiria ambao wanakuwa kwenye gari ila ni wapi watapata nafasi ya kukemea hili? Kuna muda natamani nijifanye konda kwenye moja ya gari kuona ni mbinu gani zinaweza kutumika katika kuondokana na hili suala, sidhani kuwa hawa askari wa barabarani hawana elimu juu ya rushwa elimu wanayo kama sio huko kazini kwao wamefundishwa shuleni hata na hotuba za viongozi tofautitofauti juu ya rushwa “kuwa rushwa ni adui wa haki”, upande mwingine hawa makondakta au dereva upande mwingine yaweza kuwa hawana uelewa mkubwa kuhusu rushwa, ni jukumu langu na wewe kuandaa mazingira mazuri ya kupambana na kutokomeza rushwa kwenye jamii zetu kwa kuisaidia serikali juu ya hili suala.

Ili kuhakikisha hawa watu wanapata elimu kuhusu rushwa, ni suala ambalo lihitajia juhudi kutoka kwetu yaani mimi na wewe na jamii husika, uzalendo hautengenezwi huku vyuoni au sekondari eti labda mtu akienda JKT mtu anakuwa mzalendo hapana ila cha kufanya mimi, wewe, mzazi mwenye mtoto ana jukumu la kumtengeneza mtoto wake kuwa mzalendo kuanzia kwenye makuzi yake, ili kujenga jamii iliyo bora kutoka kwenye hili janga la rushwa.

Ushauri wangu juu ya hili suala, mfano kwa watu wanaotumia laini za mtandao wa airtel mara kwa mara kuna meseji au ujumbe kuhusu wizi wa kimtandao, mfano utaambiwa “usifuate maelekezo kuhusu huduma unazotumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu.AIRTEL itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee. Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040” hivi kwanini TAKUKURU wasifanye hivo kutuma ujumbe kila muda na kwa kila mtu ambaye anatumia simu kwa kila mitandao?

Ili kama jamii inakosa elimu kuhusu rushwa iweze kuwa na uelewa juu ya madhara makubwa yatokanayo na rushwa na jinsi ya kutoa taarifa kwa mamlaka husika za kupambana na kuzuia rushwa, si kwamba sheria haipo ipo lakini kabla ya kutumia sheria inabidi juhudu itumike kwanza ya kuelimisha umma, mfano sheria ya kifungo cha maisaha au hukumu ya kunyonga, hazitekelezeki kwasababu ya utamaduni wa nchi moja hadi nyingine unatofautiana jinsi ya sula la kunyonga mtu.

Mwisho, taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ifanye kazi kwa kushirikiana na taasisi za dini katika kutoa elimu juu ya rushwa, na hizi klabu ambazo zimeaqnzishwa katika ngazi tofauti za elimu mfano sekondari na vyuo undeshaji wake unakumbwa na changamoto ya muingiliano na ratiba za masomo, nashauri suala la rushwa liwekwe kwenye mtaala kama masomo mengine yaani liwe somo na sio mada ndani ya somo ili tujenge jamii bora.
 
Nice
 
Great job
 
Congratulations
 
Great idea
 
Back
Top Bottom