Hii habari naipa doubt kubwa mno kwani huyu jamaa na EL ni watu wa karibu labda useme naye EL anampango wa kuhamia CDM. CDM ni chama makini msikubali kupokea watu walioshindwa kwenye vyama vyao hao ni rotten na mkiwaingiza kwenye meli yetu tu lazima wataleta bakteria za uozo. Watu wa namna hii wanataka kusafisha nyota zao chafu kwa kutumia kitu safi kama CHADEMA;. Lazima tusimame united kusema "HATUDANGANYIKI"
arusha ni pagumu kuliko maelezo kuwa ccm.kwani arusha ccm haikubaliki .hawana shida 2tampa ubalozi wa nyumba kumi kwa miaka kumi ili 2jue siyo pandikizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.