james milya wa ccm ahamia cdm

James Milya ni nani? nikumbushe kidogo hili jina ni geni masikioni mwangu.
 
Hili ni jitu la Lowassa lakini utashangaa atakavyosifiwa kwakuwa kaamia CDM ha ha ha ha.
 
Hii habari naipa doubt kubwa mno kwani huyu jamaa na EL ni watu wa karibu labda useme naye EL anampango wa kuhamia CDM. CDM ni chama makini msikubali kupokea watu walioshindwa kwenye vyama vyao hao ni rotten na mkiwaingiza kwenye meli yetu tu lazima wataleta bakteria za uozo. Watu wa namna hii wanataka kusafisha nyota zao chafu kwa kutumia kitu safi kama CHADEMA;. Lazima tusimame united kusema "HATUDANGANYIKI"
 
arusha ni pagumu kuliko maelezo kuwa ccm.kwani arusha ccm haikubaliki .hawana shida 2tampa ubalozi wa nyumba kumi kwa miaka kumi ili 2jue siyo pandikizi
 
huyo n wa kumtoa ole sendeka Simanjiro still ni kijana CDM mpeni mafunzo anafaa
 
kwa habari za hivi punde ni kwamba mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha, James Ole Millya, amejiengua CCM.

Source. Mwananchi communications online
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom