jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,999
- 22,536
Mali zake alijilimbikizia wapi?Ama ni yale yale ya sanduku la minoti mnalodai alikimbia nalo nje ya nchi?Kambona na EL wapi na wapi.Mumpambe mtakavyoweza, kwangu mimi Oscar Kambona ni msaliti kwa Taifa hili, simtofautishi na EL, kiongozi mwenyeuchu na tamaa ya mali na utajiri wa haraka haraka.