Jambazi lililoua Askari Arusha lauawa na Polisi

Imnyagi

Member
May 8, 2011
95
16
Habari nilizozipata kutoka chanzo cha ndani ya Jeshi la polisi ni kuwa Jambazi lililoua polisi Mkoani Arusha limeuawa na polisi asubuhi ya leo maeneo ya karibu na Monduli na lilijaribu kupambana na askari na kumg'ata askari mmoja lakini polisi walifanikiwa kulidhibiti na kuliua.
 
ni kweli mkuu na liliwekwa hapa hosptali ya mkoa mount meru kwa utambulisho kwa raia
 
Ukiua polisi ukasalimika kwa kukaa maeneo hayo hayo, you must be the one of the policemen.
 
Du! kirahisi hivi! Isije kuwa polisi wanatangaza limeuawa jambazi lililouwa askari kumbe sio lenyewe ili kurudisha imani kwa wananchi, kuwa polisi hawawezi kupambana na majambazi isipokuwa waandamanaji.

Alafu kama jambazi alifikia kumng'ata sikio askari manake hakuwa na silaha huyo, ni kwanini asikamatwe afikishwe kwenye vyombo vya sheria akajibu mashtaka, na anaweza akaisaidia polisi kupatikana kwa majambazi mengine.

Jeshi letu la polisi bado sana, labda kukabiliana na waandamanaji wawamwagie maji ya kuwasha, na kwenye gwaride wavunje vitofari, wampigie saluti mkuu wa kaya basi kwisha.
 
Wameliuaa wangekuwa na kasi hiyo kuwakamata mafisadi nafikiri uchumi ungeshamiri na serikali ingeheshimika.....
 
Du! kirahisi hivi! Isije kuwa polisi wanatangaza limeuawa jambazi lililouwa askari kumbe sio lenyewe ili kurudisha imani kwa wananchi, kuwa polisi hawawezi kupambana na majambazi isipokuwa waandamanaji.

Alafu kama jambazi alifikia kumng'ata sikio askari manake hakuwa na silaha huyo, ni kwanini asikamatwe afikishwe kwenye vyombo vya sheria akajibu mashtaka, na anaweza akaisaidia polisi kupatikana kwa majambazi mengine.

Jeshi letu la polisi bado sana, labda kukabiliana na waandamanaji wawamwagie maji ya kuwasha, na kwenye gwaride wavunje vitofari, wampigie saluti mkuu wa kaya basi kwisha.

hicho ndicho hakitakiwi mkuu.......hebu changanya changanya na zako.....utaelewa mkuu......
 
Back
Top Bottom