Jamanieee! Japo kanisani!!!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Wiki nzima mnatuvalia mavazi ya kututega. Tumeamua kuja kutubu dhambi zetu za kutamani, huku nako mnakuja na vimini vyenu na visuruali vya kubana! Tukimbilie wapi sie? Wengine miguu yenu kama chelewa tu!!! Mungu atusamehe. Hata makahaba mchana huwa wanajisetiri usiku ndo wanavaa hivyo,hii sijui ni laana!!!
 
Ndo maana mimi nakuwaga Nyumbani Revival Fellowship, kwa raha zangu.
 
Kwa nini usiangalie tu then umsifu mungu kwa uumbaji alioufanya.
Yaani we uko kanisani then unaangalia nani kavaa vipi?
 
Kwa nini usiangalie tu then umsifu mungu kwa uumbaji alioufanya.
Yaani we uko kanisani then unaangalia nani kavaa vipi?

mtu anakuja anakaa karibu yako na kamini kanaacha mapaja yote wazi. Macho hayana pazia ndugu! Kwa nini lakini? Huwezi zuia macho yasikusanye peripheral rays. Mnataka tuwe tunatubu kila dakika?
 
kumbe tuko wengi.. bora kushinda home kuliko kwenda kuangalia milonjo ya watu

Kanisani kunakuwa hakuna tofauti na Mlimani City bwana? Kwa Kakobe kuna wamama wanakaa magetini na rundo la khanga, wakikuhisi tu wanakuzungushia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom