jamani....

imaney

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,014
314
nisaidieni kitu kimoja.....

limenijia tu hili wazo ghafla tu kichwani....

nataka kununua machine kubwa ya kukata viazi na kutengeneza chips,

then,nisambaza kny ma-bar ready kukaanga...sehemu km sinza si nitapata wateja

is this real bussiness ama wishful thinking...nisaidieni...:rain:
 
Tukusaidie nini sasa hapo mkuu? Mawazo ya Kama inalipa? au kama ni wazo hai na si la kufikirika?

Hizo mashine zipo,nakumbuka kuna kipindi sabasaba kulikuwa na wakenya wanauza vifaa vya namna hiyo,unamenya na kukata viazi vya chips kwa size upendayo.

Kuhusu swala la pili,wazo ni hai tena binafsi nafikiri ni zuri tena linaweza kulipa sababu utaokoa muda na gharama za kumenya ambazo wauza chips wanazipata.Ila hivyo viazi vipo tayari kwenye supermarkets,so it's either bei itakuwa ghali au wauza chips wengi hawafahamu kama vipo ndio maana bado wanamenya badala ya kununua.So jarubi mkuu inaonekana italipa


Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka
 
Jaribu aisee, hata supermarkets PIA utapata wateja. Hakikisha unaweka label yako na mbermbwe za organic. Umenikumbusha Kuna mahali bongo niliona mashine ya kumenya viazi. Unatumbukiza viazi na kunakuwa na maji yanapita, vinaoshwa na kumenywa vinatoka vizurii. Angalia na hiyo. All the best.
 
asanteni wapendwa i just wanted reassurance,now let me do it LOLS :wink2::wink2:
 
Back
Top Bottom