Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!
wanawake wengi ingawa si wote hapa bongo ukiwaona kwa mbali wanaonekana kama wana bongo lakini wamewaandaa ubaradhuri na akili zao hazifanyi kazi na ndio maana hawajawahi kuinjoy life kwasababu hata wakati wa sex wanawaza vitu na fedha na hata ungekuwa na kontena la fedha hawaridhiki they are so material

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!
Hahaha ubahili tuu toa mpunga huo
 
Uzi una Nyundo Sita.

Huyo Demu pengine hata hiyo namba ya Simu hatumii tena
 
umemtoa kwa hamsini????
umemhonga elfu hamsini?na kutembea nae bado sio??????

sasa hapo si umejitangaza buzi????/afanyaje??????
Kuna watu wanajua kuhonga sheikh... Mi 50 hapati hata kama nshakula tunda...
 
Muite, wakati unamgegeda unamtumia laki 5 m-pesa, mkimaliza mgegedano unapiga simu m-pesa na kuwaambia umetuma pesa kwenye wrong number.

Hata ile fifty yako atakuwa ameilipa
 
Back
Top Bottom