jamani yamenikuta........!!!!!!

Amney

Member
Feb 23, 2012
54
4
Nna boyfriend ambae baadae natarajia kua mme wangu mtarajiwa,wakati ananapproach alniambia km alkua n demu lakini aliachana nae kwa bahati mbaya wakati wanaachana kumbe hyo msichana alikua na mimba ya huyo boyfriend wangu,n mwnyw alniambia na akaniomba Ushauri coz alkua anasema aikatae mimba huenda Co yake, bt m nkamshauri ackatae incase n yake ajue namna ya kujipanga. Mtoto akazaliwa copyright n hyo boyfriend wangu. Tatizo langu n kwamba huyu boyfriend wangu ataendelea kua na msimamo na mm ama atarudi kwa msichana aliezaa nae?
 
Amney,
Moyo wa mtu ni kichaka hakuna ajuaye ya kesho. Leo anweza kukwambia hivi kesho akakubadilikia. Lolote lawezekana baya au zuri. Ushauri wangu ni jaribu kufikiria sana na kuusoma uhusiano wenu wa sasa hayo ya mbele mwachie mungu. Je na wewe ulikuwa na boyfriend kabla hujakutana na huyu wa sasa?
 
Kama anakupenda kweli hawezi kukusaliti,mbona wengi tu wamewaacha watu waliozaa nao na kudumu na wapenzi wao wa sasa.
 
wewe unaonaje?...akirudi wewe uko tayari kumpokea?..uko tayari kulea huyo mtotot?
 
AMNEY
pole sana ila kikubwa sana ambacho unatakiwa kufanya ni kuangalia nyendo za huyo boyfriend wako,kama bado ana mahusiano ya karibu na huyo binti jaribu kumkanya maana wanaume ni wadhaifu,ukiona nyendo zake huzielewi tumia tu akili ya kawaida kusoma alama za nyakati
 
dada shukuru mana wanaume wengi wa leo wakiwa na watoto watadanganya hawana ili mradi tu akupate, matokeo yake unaolewa naye na baada ya miaka nenda rudi ndo unagundua kuwa alikuwa na watoto zaidi ya uliozaa naye, kitendo cha huyo wa kwako kuwa kmweli kinaonyesha wazi tu kuwa amedhamiria kuwa nawe na anayo nia, kinachohitajika ni kumsisitiza kuwa mawasiliano kati yake na mzazi mwenzie yawe ni juu ya matunzo ya mtoto tu na si vinginevyo!!
wengi wanaishi hivi na wamefanikiwa katika hilo...
 
Songíto;3456427 said:

Nashukuru ndugu yangu,okay ntajitahidi
 
AMNEY
pole sana ila kikubwa sana ambacho unatakiwa kufanya ni kuangalia nyendo za huyo boyfriend wako,kama bado ana mahusiano ya karibu na huyo binti jaribu kumkanya maana wanaume ni wadhaifu,ukiona nyendo zake huzielewi tumia tu akili ya kawaida kusoma alama za nyakati

Nashukuru mpendwa
 
Amney,
Moyo wa mtu ni kichaka hakuna ajuaye ya kesho. Leo anweza kukwambia hivi kesho akakubadilikia. Lolote lawezekana baya au zuri. Ushauri wangu ni jaribu kufikiria sana na kuusoma uhusiano wenu wa sasa hayo ya mbele mwachie mungu. Je na wewe ulikuwa na boyfriend kabla hujakutana na huyu wa sasa?

Yap nlkua nae bt tliachana kabla cjampata hyu wa sasa
 
Yap nlkua nae bt tliachana kabla cjampata hyu nlie nae

Basi mkubaliane kwa pamoja kuacha yote ya nyuma na kuanza safari mpya. mwambie wazi kabisa kuwa uko tayari kumsaidia kuleo mtoto wake lakini hutakuwa tayari kuona kama atarudiana na mpenzi wake wa zamani. kumbuka kuwa muwazi mwanzoni
 
duh...nyie bana....yaani kuhusishwa na huyo mama mtoto nilazima...ila haimaanishi lazima watapeana utamu tho posibility ni kubwa....
sasa kama upo ready kuchukuwa hiyyo risk sawa endelea lakini kama demu alimind alivyobwagwa kaa ukijua vituko vitakuwa daily bread
 
mapenzi ni kitu cha ajabu sana ili mpendane inabidi wote muwe na different ideology ndo mnajaribu kupigana ziwe sawa ila wote mkiwa na same ideology hapo ndo tatizo.mi naamini kama kweli anakupenda anaendelea na ww ila wanaume ni UNPREDICTABLE wanageuka kama kinyonga leo anakua na rangi ya bleu kesho nyekundu na keshokutwa njano ss wiki ijayo hatujui kama atarudi na same color au atakua na rangi mpya,walioko kwenye ndoa wanataka kutoka na sie tukioko nje na tunapigana kufa na kupona kuingia ndani.
 
Tafuta mwanume mwingine, kwani kuna mwanaume mmoja tu duniani...amka wacha kula breakfast una matongo tongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom