jamani wanaume tumekuwa adimu

Naamini mashoga wengi wanatokana na malezi mabaya ya wanawake, mtoto wa kiume mlee kiume asilelewe kidada dada unakuta mtoto wa kiume anavalishwa gauni la mtoto wa kike hii tafsiri yake nini?



mhh unawaza kiume.ur real man.
 
sawa baba.nimekubali

Haya twendelee
mi nalia na wanawake wanao wavisha watoto wao nguo za kike hawa ndo wanasababisha idadi ya mashoga inaongezeka nchini haswa haswa huu ukanda wa Pwani na vitongoji vyake.
 
leo nlikua kwenye foleni asubuh..jamaa wanashindana kugawa vipeperushi vya Nguvu za kiume...ni dalili mojawapo kuwa wanaume tupo wachache bado pia idadi ya wasio rizki imeongezeka..purely wanaume tupo wachacheeee
au vipi? hata wanaobisha rohoni ukweli wanaujua.
 
Wanamme mmevamiwa sana.

Hata wanamme suruali wamekuwa wachache

Wanamme vitop ndio wanaongezeka kwa kasi kweli
 
Haya twendelee
mi nalia na wanawake wanao wavisha watoto wao nguo za kike hawa ndo wanasababisha idadi ya mashoga inaongezeka nchini haswa haswa huu ukanda wa Pwani na vitongoji vyake.

ehh jaman ahsante kwa kunijuza..kumbe kumvisha gauni katoto ka kiume ndo sababu ya kuwa shoga?
unawaza kiume sana.
skujua chanzo cha ushoga ni kuvaa kigauni utoton.:glasses-nerdy:
 
apana .nakataa et mwanaume ni mwanaume tu mhh hell nooooooooooooooooo....so mwanaume shoga ni sawa na mwanaume wa kawaida?
mwanaume mlev..anampga mkewe ajali family ni sawa na yule anayejali famil?


kuna magrade ya wanaume ..SIO KILA MVAA SURUALI NI MWANAUME...ndoa apo penye WANAUME NI WACHACHE TENA WACHACHE SANA...weng wenu magume gume tu:rolleyez:

Rose,leo umeamkia upande gani wa kitanda,maana.......
btw hako kajicho kanani kill softly!
 
Kweli mkiwezeshwa mnaweza tangia marufuku ya kukeketa iwepo naona midomo imewazidi lakini piga ua mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu.
hah hahaha kinawauma ehhh? AFU ELEWA KWANZA APA SIJAONGELEA NGONO WEWE MWENYE KUVAA SURUALI...sasa tuendelee:hippie:
ndo manake babu..wanaume wenye uanaume ni wachache..chek wangap wamelelewa na mama tu?bab katelekeza famil..mnasomeshwa na mama zenu mpk lenu mmeweza.. kununua DADAVUZI MPAKATO bas mnajionaaaaaaaaaaaaa et ohh wanaume wachache ehh ni kweli ni wachache...cz mnayotakiwa kutenda km wanaume hamtend..sasa bado tuwaite wanaume?....MWANAUMEANA SIFA ZAKE BWANA...UKIKAA NAE UNAJUA YAP THIS IS A MAN..
 
Unataka kulazimisha mwanaume nae abebe mimba sio? Mwanaume tofauti na mwanamke, na mwanamke utaendelea kuwa mwanamke tu usitake kulazimisha kukojoa umesimama utajichafua nguo shauri yako.
du! jamani hii thread ngoja nii delete!
au ka vipi nichumpe kwa ku log off.
 
Back
Top Bottom