Jamani vipi wale vibaraka wanaojiita wanaharakati

KABUKANOGE

Member
Mar 20, 2012
24
6
Mara baada ya mgomo wa madactari kugoma ile mara ya pili walijitokeza, baadhi ya vibaraka na kujiita wanaharakati wazalendo na kusema eti wanafungua kesi dhidi ya maprofessional, so hii kitu iliishia wapi,naomba mwenye taarifa ya kinachoendelea atupie hapa
 
Walitumiwa kama toilet paper na baadaye wakatupwa kwenye dust bin! Wale sio wana harakati ni waganga njaa tu.
 
Mara baada ya mgomo wa madactari kugoma ile mara ya pili walijitokeza, baadhi ya vibaraka na kujiita wanaharakati wazalendo na kusema eti wanafungua kesi dhidi ya maprofessional, so hii kitu iliishia wapi,naomba mwenye taarifa ya kinachoendelea atupie hapa
Wale Vibaraka wameingia mitini walikuwa wamepewa pesa kuwalipa madaktari il wagome kila siku walikuwa wanawalipa 70,000 hadi 200,000 kwa kila siku walizokuwa wameigomea serikali. wanasubiri bingo ingine wawaingie waalimu
 
plse, read between the lines
 
Unawazungumzia kina Salum na Risasi mwaulanga? Haaa wale waganga njaa tu,halafu wote wale wanatumiwa na sisiemu kwenye makongamano kuisifia serikali we angalia ITV kwenye malumbano ya hoja lazima uwakute!!
 
Back
Top Bottom