Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 3,751
- 7,119
Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town
Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai wako,,,, jana tu kuna mwamba nasikia wamekatisha uhai wake kisa alitembea na mke wa mtu.
Kuna kisa kimoja nimekipata,,, kuna walimu walikuja field,mmoja akajichanganya kwa mke wa mtu,,, wazee wakamwonya lkn akaleta kiburi,, ilipokuja kamati ya kumsaili akiwa darasani akawa hawaoni wanafunzi ndani ya darasa,ikabidi fomu yake irudi bila kujazwa.
Alipokumbushwa na mwenzake kuhusu kukaidi wazee waliomwonya ndo ikabidi arudi kuomba radhi,,, wazee wakamwambia ''sisi tulishamaliza hilo swala '' haikujulikana mwisho wake imekuwaje.
Lakini adhabu kubwa na ambayo inachukuliwa mara baada ya kutoka na wake za watu ni kuuwawa chap
Nilichogundua wanawake huku vijijini ni wachache mno hivyo inakuwa ni bidhaa adimu sana ambayo kila mwanakijiji anapaswa kuithamini na kuilinda
Tofauti na mijini wapo wengi na mambo ni mengi hivyo inakuwa vigumu kufuatiliana sana,,,lkn vijijini ni tofauti kabisa
Mafundi ujenzi hawa bwana ni wakali wa wake za watu hawaoni shida kuhonga kipato chake cha siku ili mradi atimize lengo lake,,, kuna ambao walikimbia kazi baada ya kupata nyepesi kwamba kuna kamati ndogo imeundwa kwa ajili ya kutoa adhabu ya kifo,,, wanakijiji hawana mambo mengi sijui polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa ni kupotezeana mda tu.
Anyways kuna kamadam nimekaelewa nimetuma vijana wangu wakafanyie utafiti kwanza kabla sijatolewa sadaka ugenini,,,,just kidding
Ni hayo tu!