Jamani tuwe tunakumbukana hata kwa njia ya barua?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Nimeamua niwawekee picha 136794917[1].jpg maana nitapotea kwa muda kidogo......

Amri kuu Pendaneni kama mungu anavyowapenda

weekend njema.....
XXXXXXXXXXXXXX
 
Sasa hapo wote wawili ni wewe? Au mie ndiyo sioni vizuri ? pengine snap ina mtu mmoja!
Labda!
Ingekua photo ina mtu mmoja , maelezoyo yangejitosheleza!
 
Hongera mama. Hivi uko call center ya zain ama voda? Afadhali serikali imekataza haya mavazi ofisini, hawa wakina Asprin walivyo waroho na meno hawana wangekufa mbona. Umetokea, sipati picha wknd unavaaje.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom