Jamani Tigo

marco thomas

Member
Feb 19, 2011
29
2
Ni wiki sasa UDSM Mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa Tigo imekuwa shida. Ombi kwa Mainjinia na Wamiliki wa Tigo kama huwa mnapita kwenye hizi foramu mfanye hima maana hali si shwari.
 
Wewe hamia AIRTELL!! mbona jamani wa2 wengine huwa hamckii 2lisha lijadili hili hapa jf na 2kakubaliana 2iteme aka 2achane nayo then wewe umeng'ang'ania bac shauri yako.
 
Ni wiki sasa UDSM Mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa Tigo imekuwa shida. Ombi kwa Mainjinia na Wamiliki wa Tigo kama huwa mnapita kwenye hizi foramu mfanye hima maana hali si shwari.

Kama vipi temaneni nayo kwani mitandao ipo mingi ya kutosha
 
Back
Top Bottom