Jamani TBC

LUOLE

Member
Oct 17, 2012
8
1
Siamini ninachokiona tbc ,hili ni shirika la taifa la utangazaji , nashangaa linashindwa kurusha mechi za AFCON.Miaka ya nyuma itv walikuwa wanarusha kwa sasa wakati wa sayansi na technojia hawarushi.JIPANGENI MTUFURAHISHE WA WATANZANIA.TTAKRIBANI MASHIRIKA UTANGAZAJI YA MATIFA MENGINE YANARUSHA BUREEE MFANO CAMEROUN,SENEGAL,MADAGASCAR ETC
 
Hata mim nashangaa serikali yote pamoja na Wizara ya Michezo kazi yake ni nini hasa kwa wananchi,ni jambo la kushangaza kwa Taasisi kama TBC ,wIZARA na Serikali yote kushindwa kuonyesha michezo hiyo inayotokea mara moja baada ya miaka 2.Hakika ni ktowajibika kwa wananchi na hakuna la maana kwa serikali kama hii corrupt kushindwa kuonyesha michezo hiyo huku fedha nyingi zikitumika kwa kazi zisizo na tija kwa jamii.
 
TBC ishakufa kitambo mnayoiona ni TBCCCM
watarushaje mechi kama chama hakijaamua?
 
Hiyo ni TV ya sisiemu bana nani kakwambia ya Taifa
 
TBC ishakufa kitambo mnayoiona ni TBCCCM
watarushaje mechi kama chama hakijaamua?
Hata mimi naamini TBC imekufa na hii tunayoiona ni TBCCM yaani utakuta tukio limetokea leo na ITV wamerusha lakini TBCCM wanakuja kuitanga hiyo habari au tukio siku ya tatu au nne, hakuna kitu kabisa tena ni TIBITHITHIEMU
 
Baada ya Tido kuondoka, hakuna mbunifu mwingine pale, tumeliwa.
Tido kaondolewa kwa majunggu ya CCM, kawekwa kada wao sasa mnashangaa nn ikiendeshwa kiCCM!
CCM haina utamaduni, wataoneshaje mechi?
Labda [japo cna hakika sana] ingekuwa mechi ya kuwadhibiti CDM.
 
TBC ishakufa kitambo mnayoiona ni TBCCCM
watarushaje mechi kama chama hakijaamua?[/QUOT

na pia hawana budget kwa ajili ya kuwaburudisha watz hawana kabisa jamani, wanayo budget ya kununulia maji ya washawasha ya kuwagea polisi, kutoa rambirambi akifariki msanii, ya kununua kanga, kofia na vitenge wakati wa uchaguzi, kupikisha pilau kama upendo wakati wa uchaguzi na duplication ya makaratasi ya kupigia kura kwa ajili ya kuongeza kura za ccm n.k nk
 
TIDO alishahama nayo kitambo
pindi TBC ikirudi kuwa mali ya umma tutaweza tena kungalia match
kwa sasa wanafaidi kodi zetu kwa manufaa ya CCM.
ni laana. say no to TBCCM
 
TBC wanatumia kodi zetu mhucka alikuwa idara ya habari maelezo na uccm pekee hapana na udini ndo unaoharibu habari za ibada ni jumapili tu kujua nani kasema hili na wapi? Wakati toka ijumaa na jumamosi hayasemwi au hawana la kusema viongozi wao. ITV awali walionyesha nao wamerudi kulekule kwa ccm kwa vile mafisadi wanatunziana siri maana mkuqugenzi mtendaji huwa anajiita mpinga ufisadi wakati tunajua amefilisi ZAMBIA - TANZANIA miaka ya 70 akiwa mhasibu na hiyo kesi ipo mpaka kesho
 
mwenye nyumba vasco yuko kutalii kila kunapokucha. wadanganyika tutaendelea kuumia, tujipe pole
 
Back
Top Bottom