Jamani Nauliza Nipate Kujua..... Ilikuwaje?

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,015
95,369
Athumani:
Alimkosea nini Mungu mpaka ikaibuka huu msemo: MUNGU SI ATHUMANI

Mtemakuni
Huyu alipata adhabu gani mpaka huu mkwala ukaibuliwa "UTAKIONA CHA MTEMAKUNI"

Sikukuu ya Iddi
Ina nini hasa mpaka wakaidi ndo inakuwa kimbilio lao "MKAIDI HAFAIDI MPAKA SIKU YA IDDI"

Babu amejuiliza amekosa majibu.
Hebu msaidieni majibu apate cha kulonga na wazee wenzake kaunta ya juu Ijumaa hii wakati akigida Castle Milk Stout ya baridi kwenye glasi ya moto, iliyochemshwa.

Afu nawatakieni Wikiendi njema:

Msiendeshe mkiwa mmelewa, msifanye ngono zembe...tumieni kondom, ikibidi mzimeze kabisa kwa ajili ya kinga zaidi endapo mtabusiana na maulimi yenu
 
Wewe nawe bwana maswali magumuuuuuuuuuuuuuuu mie najiweka pembeni niepushe msongamano nimeshindwa na nitapata F leo
 
Babu usipojua ww, sisi wajukuu tutajuaje?
Ila ngoja waje wenye kujua wakujulishe babu.
Ijumaa njema karibu mnadani kutafuna nyama au
meno hakuna.
 
Wewe nawe bwana maswali magumuuuuuuuuuuuuuuu mie najiweka pembeni niepushe msongamano nimeshindwa na nitapata F leo
Na usije KingStaa, sitakununulia Tusker ya Kenya ya baridi wallahi
 
Babu usipojua ww, sisi wajukuu tutajuaje?
Ila ngoja waje wenye kujua wakujulishe babu.
Ijumaa njema karibu mnadani kutafuna nyama au
meno hakuna.

Nna hasira sana na Asumani.... alimtenda nini Mungu wetu? Labda ndo maana mafuta yamepanda bei au?
 
Nna hasira sana na Asumani.... alimtenda nini Mungu wetu? Labda ndo maana mafuta yamepanda bei au?
Popote nimwonapo Asumani leo ana kazi ya kunijibu
ili nilete jibu mapema, tusije tukashindwa kula nyama
kisa babu ana hasira
 
Hahaha leo pale pale Hommie!
Inawezekana athmani alijiita Mungu
 
Popote nimwonapo Asumani leo ana kazi ya kunijibu
ili nilete jibu mapema, tusije tukashindwa kula nyama
kisa babu ana hasira
Hebu Fanya hima..........Huyu Asumani inaelekea alitongoza mke wa malaika akajiona kishakuwa Mungu...Asumani bana.....TUPA KULE!

aseee!!!
makuli wamekutibua leo eeh!!!
tukapange meza na viti!!
Aiseee pare pare pa ukweeeee.... Saa ngapi chalii!

Hahaha leo pale pale Hommie!
Inawezekana athmani alijiita Mungu
Mtanikuta nshapanga viti.... Inshaalah, Mungu Si Asumani
 
Hahaha hoomi kisasangwe has made my day nimecheka kwa sauti acha! Dah sijui kamaanisha nini!
 
Hahaha hoomi kisasangwe has made my day nimecheka kwa sauti acha! Dah sijui kamaanisha nini!
Kisasangwe si Asumani, na Asumani si Mungu

Hommie hivi ni Mtemakuni au Mtema Kuni? Isije ikawa ni baba yake Regia alikiona cha moto akatema kuni
 
Back
Top Bottom