Jamani mnatupandishia tena nauli............?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini(sumatra) na wamiliki mwa daldala(dacoboa), wamejadiliana na kukusudia kupandisha nauli kwa asilimia 150.bila huruma wala kujali kuwa hata hii iliyopo tu wengi wetu hatuimudu, ushahidi angalia mida ya kutoka na kurudi majumbani misururu ya watu pembeni mwa barabara wanavyounga mkono azimio la maisha bora kwa kila mtanzani.kwa kutembea kwa miguu bila kujali umbali. jamani mtuhurumie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom