Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi

Acha ujinga wewe! Mara tu umesahau tumechukua kagame kwa kummbaka bwana wenu Azam aliyewatoa kwenye mashindano?
Unazungumzia yule shosti wako mtamu kuliko wewe tuliyemtungua kwenye ligi kuu 2-0, Super 8 (2-1) tena nikishirikana na wanangu na Ngao ya Hisani (3-2)? Mwambie aje tena safari hii nitamuhonga kombe moja maana hana hata glasi?
Mwenzio mtamu kwa kuwa hatunguliwi sana kama wewe.
 
Pole, ila usichoke endelea kuwa naye si mmezaa wote? mshauri atumie kinga ili kujilinda.
Jichunguze yawezekana haumuhurumii yeye uwezo wake ni TATU wewe unataka TANO! tena bila kupumzika, na pengine alikubania baada ya kusikia unatoa dozi kali na nzito huko nje ya ndoa!.
kule mwanza alizalishwa katoto kanaitwa toto ila kajeuri kwa babake mdogo,huwa hakana adabu.
 
Grafan11,
Mimi sielewi kwanini waliamua kutunyima lakini wakaenda kumpa Mtu wa mbali kiasi hicho! Tena wakaamua kabisa kumpelekea kwa ndege kabisa duh!
Naona dume la Kihaya lilikuwa na hamu nae sana mpaka likamkodia ndege bhana..
 
Naona dume la Kihaya kilikuwa na hamu nae mpaka likamkodia ndege bhana..
Hawezi kuapata kiti kwenye mabasi yaendayo huko BK maana kazidisha dawa za kichina INYE imekuwa ova saizi
attachment.php
 
Hawezi kuapata kiti kwenye mabasi yaendayo huko BK maana kazidisha dawa za kichina INYE imekuwa ova saizi
attachment.php
Umeonaaeeee... huyo akipanda basi labda alipie siti mbili, halafu raha ya huyo akae kiti cha daladala cha katikati halafu kidume uwe kiti cha nyuma walaah nini kikuku cha kiuno mpaka firigisi utaiona.
 
Zipo za wanaume bana!
Zipo za wanaume au Shemale bhana? sema ukweli mwanaume hawezi kuvaa kandambili hizo.
Tena siku hizi kwa taarifa yako wabunifu wengi wa mavazi ni mashoga, hicho unachojaribu kutuambia pengine si ajabu kwa kuwa hao wabunifu mnaowaendekeza ukianzia na baadhi ya wabunifu wa hapa hapa Bongo unawafahamu vizuri kweli? au mpaka tutupie hapa picha zao za aibu!
 
Huenda jamaa wa Yanga wakifungua to uzi hawaendelei mbele maana views nyingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom