jamani mim mpya

gplus

Member
Jan 3, 2012
14
1
jamani eeh mim ndiokwanza mpya humu ndani ya jf,,ndio kwanza nimejiunga,natafuta marafik mbali mbali
wenu,p
 
Karibu mgeni
Naomba niwe wa kwanza kukuchana kwenye makatasi yako na kubandua lebo?
Hata mie ni mpya mpya kidogo
Sina muda mrefu sana
 
Labda nikukaribishe kwenye jukwaa la MMU,ila kwa ukaribisho wa Majukwaa yote karibu jukwaa la UTAMBULISHO....
Karibu sana.
 
Mimi mgeni nakukaribisha mgeni mwenzangu!
ukikuta wenyeji wanalia na wewe unalia, kama wana cheka haya mi ndio nimefika..........
 
Wewe ni She au He??
nauliza tu kwanza ndio nijue nakukaribisha vipi.
Mimi ni he
 
jamani eeh mim ndiokwanza mpya humu ndani ya jf,,ndio kwanza nimejiunga,natafuta marafik mbali mbali
wenu,p


Umekosea mahali, hapa hakuna ushosti, nenda facebook kwa hilo.

otherwise if you insist, give us your AGE, SEX and LOCATION

also MARTIAL STATUS ( but this not important. )
 
mnavyoendela kudiskazi hapo
nshamgaragaza saa nyingi
chezeiya sports harmer!
 
mnavyoendela kudiskazi hapo
nshamgaragaza saa nyingi
chezeiya sports harmer!

Haya mkalale niachieni mgeni wangu, karibu zenu zimeshamtosha! Msikomaze, haya mgeni jiandae ! Kulala alafu tena alafu tena ..... Alafu
 
Karibu sana, Mi naitwa HorsePower Kufakunoga, ila wengi huniita HorseNguvu, HorseDume, HorseD nk Napendelea kutumia HorseLanguage, nitakufundisha kama utakuwa interested nahisi utaipenda hiyo lugha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom