Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Hbr wanaJF: nina mpenz wangu NAMPENDA sana ila kwa muda wa wiki 3 sasa tupo ktk mzozo mkubwa unaotishia uhusiano wetu,tulipanga twende tukajitambulishe kwa wazazi lkn yeye alimpa kama dokezo tu mama yake,mama akasema sitaki uniletee mtu ambae HAJAOKOKA,hilo lilileta mzozo kwan mi sikuwa tayar kuokoka na mwishowe akakubali kuwa liwalo na liwe ataishi nami hata kama wazaz wake watakataa.Tukiwa bado hatujatulia vizur baba yake akaja na hoja kuwa kuolewa mpaka 2016 na sio sasa,hapo mzozo ukaibuka upya na akasema kama sipo tayar basi nitangulie tu kuoa,kweli nilichukia nkamjibu POA. tukakaa wiki zima bila mawasiliano mpaka mimi nilipofunga safar toka mbeya kuja dar kusuruhisha-yakaisha..tatizo ni kuwa mpnz amebadilika sana,hana hamu na mm kama zaman,hatumi msg na akituma basi anajibu msg yangu tena kifupi tu sawa,poa au nmeelewa yan sio kama zaman na baada ya kumuuliza leo akasema HAYUPO TAYARI KUNIKOSA lakin pia anakosa ile hamasa ya mapenz kwangu,nfanyeje arudi ktk hali yake ya zamani jaman?
 
hii ngoma ilishakuwa heavy...vipingamizi vingi kiasi cha kwaba huyu mpenzio naona amepata mawazo mengi
sasa vuta subira kidogo na jaribu kujiweka katika nafasi yake na ujue kuwa anapitia wakati mgumu.....hivyo hizo sms kuwa fupi ni kwa sababu ya haya yanayotokea maishani mwake na sio kwamba hakupendi.
 
hivi ni nani yule alimaga LOVE CONQUERS ALL! Sioni demonstration ya huyu wa kwako kwa she will fight for "your" LOVE! Lakini pia usiache kumpa muda
 
@the boss,am 27 years old na cwez ishi bila ndoa otherwise nipate ushawishi leo toka kwako.
 
@ossy,how sure you are?. Mungu wangu sitaki hilo liwe kweli maana hope ntarun crazy
 
@the boss,am 27 years old na cwez ishi bila ndoa otherwise nipate ushawishi leo toka kwako.

kwani nini maana ya ndoa????
umewahi kusikia wachaga wana bariki ndoa????//
unaelewa serikali inasema ukikaa na mtu miezi mitatu ni ndoa????
 
ushauri wangu tafuta mwanamke mwingine huyo doa tayari ni matatizo walokole sio wanawake wa kuoa wanachuki na ni wabinafsi bora uoe mwanamke ambae hana dini au muislamu sala saba kuliko uoe mlokole.wanachuki hawa watu sana...mtu yeyote akikuambia ni mlokole ww mchunguze matendo yake..kila kitu matendo.bora uoe malaya atatulia lakini si mlokole atakuua kwa presure na stress,malaya wengi waqkiolewa wanatulia
 
the boss,acha na hilo mi kwa sasa nafocus on how to rescue ma love na kiukweli ndo kwangu ni lazima tena lazima hakuna discussion hvyo pls help me kwenye swali langu la msingi
 
@baba juice!,umetumia maneno makali sana kwa walokole...mmmh hapana mkuu yeye si mlokole in such yan anaigiza tu kwa kuwa mama yake anataka awe mlokole na ndo maana akataka nami ni-act hvyo hata hapo niligoma pia ndo maana akasema basi liwalo na liwe. Pls usiwe mkali hvyo
 
Mungu anakuepushia balaa baadae!!! Mkuu kila jambo huwa linamaana yake, Hakuna kuinachotokea accidentaly wala by chance!!! wakeup man, Ulishawah kuwaza utakuja kuonana na huyo mwanamke in you childhood???
 
Ndugu huyo bint anakupenda 4real ila hali iliyopo pia inamchanganya, anahitaji kukuridhisha wewe na wazazi wake kwa pamoja, usiwe na hasira bro tafuta faragha umweleze kwa hisia jinsi unavyojisikia juu ya mabadiliko yake! Atakuelewa tu kwan ameokoka na yupo tayari kuwa nawe daima. Tuliza nafsi.
 
ushauri wangu tafuta mwanamke mwingine huyo doa tayari ni matatizo walokole sio wanawake wa kuoa wanachuki na ni wabinafsi bora uoe mwanamke ambae hana dini au muislamu sala saba kuliko uoe mlokole.wanachuki hawa watu sana...mtu yeyote akikuambia ni mlokole ww mchunguze matendo yake..kila kitu matendo.bora uoe malaya atatulia lakini si mlokole atakuua kwa presure na stress,malaya wengi waqkiolewa wanatulia

dah! kama ndo hivi,ipo kazi
 
Ebu mwombe unyumba umkule uroda vizuri bila uvivu. Utashangaa atakavyokuambia muoane haraka sana, hata bila baraka za wazazi. The Boss is absolutely right, take his point into account and consider it in an immediate effect, you'll see the positive outcome!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom