Jamani,kulikoni Ivorycoast?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Jamani mgogoro wa kisiasa wa Ivorycoast umeishiaje au unaendeleaje?
Ile presure yote ya dunia ambayo ilikuwa anapewa rais fake Ghagbo ime
ishia wapi? Ile presure ya marais wa Africa na dunia yote ya kumpa masiku
ya kuachia madaraka kwa rais aliyeshinda Quwatara imeishia wapi? Ile presure
ya kusema watamtoa kwa nguvu ya mtutu wa bunduki imeishia wapi? Na je,
yule rais anayeishi Hotelini atakaa pale hadi lini? Au ndiyo marais wetu wa africa
wameshamwambia Ghagbo asiondoke ili waendeleze utamaduni wao wa kung'a
ng'ania madaraka ili waendelee kutawala na vyama vyao hadi kiama?
Jamani Africa' Lol!
 
Back
Top Bottom