Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Jamaa mmoja baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu alikimbia uchi hadi nyumbani kwake: Mkewe akamuuliza kulikoni hivi tena: Mume akajibu nimevamiwa na majambazi wameninyang'anya kila kitu hadi nguo: Mke akajibu pole sana hao majambazi wakorofi sana wamekuvalisha mpaka Condom walikuwa wanataka uwalawiti nini