Eeeeeh ndio hivo...Hujambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
...hofu na mashaka ni kwako uliye mbali ya upeo wa macho yangu
...ama baada ya salamu mimi ni mzima wa afya
Aiseeeeeeeeeee!!!!!!!!
Vipi mwenzetu kwema lakini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sijawahi fika Mombasa ila kama mambo yenyewe ndio hivi niko tayari kwenda fanya ziara, yaani warembo wa kufa mtu
Kwema sana
Vipi huko kwema?
Hongereni kama ni kwema!Yeah nashkuru
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asante jirani lakini mimi siyo ODM bana!!
Nitafanya hivyo kama vitukuu ndio viko hivi je hao mabibi zao itakuwaje, pananihusu sanaFanya uende huwezi kujilaumu....Mombasa raha bana.!!
Mombasa kutamu sana....
Mombasa siendi tena
Mombasa sipapendi sababu ya ubasha
Mombasa kuna wasomali wengi?
Mi nahamia kimoja huko karibuni.