Jamani inasikitisha hali ya afya ya Sajuki mme wake Wastara

Taarifa Nilizo sikia kutoka kwa baadhi ya wasanii kuwa Mwigazaji SADYUKI yupo hoi kwa Miezi kadhaa..

Na kwenye kipindi cha Barugumu leo asubuh wame hakikisha kuwa SADYUKI YUPO HOI.

Mytake-Wasanii msaidie mwenzenu msisubiri siku akitutoka ndo mvae suti zenu nyeusi.





Dah kweli hata mimi nipata hizo habari inasikitisha sana


TUACHE UTANI, SAJUKI ANAUMWA - Global Publishers


Wasanii hapa ndo mahali pa kusaidia na si kusubiria mchango muunde kamati za kutumia mamilioni ya pesa atakapokua hayupo
 
Yaani anaumwa haswa,kuna siku nilimuona kwenye kipindi cha take one jamani amebadilika sio Sajuki yule tuliyekua tukimfahamu..
 
jamani nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa msanii wa filamu Sajuki ameaga dunia. Mwenye taarifa rasmi plzzzzz!
 
Sio vizuri kusambaza taarifa za kifo bila kua na uhakika,kama huna uhakika kaa kimya kama ni kweli utasikia kwenye vyombo vya habari..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom