Jamani huyu kijana Mkenya ni pandikizi la mtu...acheni matani....Dah!!!!

Duh!!! Aisee huyu ni Terminator 5...112kg...Mie hata nikila gunia zima siwezi kufikia hizo kilo zake.
Meezy,

wala usijisumbue kujaribu kula magunia kadhaa....:redface:

.....tazama umri wake!

Nasikia kaenda New Zealand kupiga Rugby baada ya timu alokua akichezea SA
kuleta mushkil katika maelewano yao.

All the best kid!...dah!...bonge la mtu aisee!
 
He is 23, nearly 2m tall and 110kg (we are talking muscle here)... :rolleyez: do you have his phone number?
shughuli yake pevu utaiweza mama? huyu anakubeba na kukupeleka popote bila wasi...:redface: haswa ukiwa mvivu wa kuji-muvuzisha
 
We sasa huyo Daniel Adongo ni kama sungura tu kwa huyo wa kulia mwa picha hii!

6a00c2252999c6f21900e398cc95fe0005-500pi.jpg

...The Guy in the Right is from PHOTO-DUKA!:spy:
 
Ab-Titchaz hivi Kenya kuna league ya Rugby? Coz team ya Kenya ni Nzuri na iko na wakenya asilia wengi tofauti na ya Tanzania ambayo wazungu wenye asili ya Tz ni wengi zaidi... Then how about volleyball, and kriket kuna league zao? Huko coz naona team za Kenya ktk hiyo michezo ziko vizuri! If you an idea how do they manage Kuwa na classic youth competitions ktk rugby, kriket and volleyball? While ktk soccer mambo sio mambo!
 
Rugby ipo mkuu...tena kwa sana!..afu kama usemavyo ni wazawa siku hizi wako mbele katika huo mchezo.
Huyu Kijana kama uonavyo ni Rugby player mzuri sana n anacheza profeshno!

Volleyball ipo lakini cricket sijui kama ipo kwa sana kama zamani. Unajua huo mchezo una wenyewe eti!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom