Jamani huyu kijana Mkenya ni pandikizi la mtu...acheni matani....Dah!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Introducing Nairobi born, man-mountain and professional rugby player Daniel Adongo

Bio:
Physical: 1.97m, 112kg
Born: 12.10.1989, Nairobi, Kenya




Daniel-Adongo-portrait-120208bb180.JPG



DanielAdongooftheVodacomBulls.jpg



DanielAdongo.jpg

 
Just wondering is it Odongo or Adongo? I swear i thought Adongo reffered to a she, like Auma, Adhiambo, Awiti etc. Or is it the exception that prooves the rule?
 
We sasa huyo Daniel Adongo ni kama sungura tu kwa huyo wa kulia mwa picha hii!

6a00c2252999c6f21900e398cc95fe0005-500pi.jpg
 
Steroids @ work ...

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
kiasiii chakeee..hata hapa jf kunaa watu wamee kataa zaidi ya huyoo
 
wow anachezea timu gani nije mwangalia?

Huyu bado yupo shule Nairobi lakini akimaliza nadhani watamchukua kule South Africa akawe permananetly based.
Timu yake kwa sasa inaitwa Vodacom Blue Bulls ya SA.

Hachezei local teams za Kenya na kuna tetesi mawazo yake yapo katika kuchukua uraia wa SA kisha labda
hatimaye achezea timu yao ya taifa...Springboks.

Kila la heri jaluo!...:poa
 
Wanachumba,wake na watoto kwani unafikiri biology zao kubwa hana Sisiter ukiziona utashangaa jinsi zilivyo ndogo ha ha ha.

hivi hawa watu uwa wanawachumba kweli? especial huyu wa kulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom