Jamani hawara anauma kuliko mke, unabisha?

Daaanh yaani mke akae kundi moja na hawara mpaka na uchungu wawe sawa????!!!!!!!
Nikisikia mwanaume analalamika kutendwa na hawara naona kama na yeye watu wakikomaa anaweza kung'oka! !!!!!
 
Yaani kwa comment za huko juu....nimegundua baadhi ya Wanaume wa miaka hii....bure kabisa...heri ubadilishane na pumba utalisha bata utauza na kupata faida kuliko hao wanaoona uchungu kwa hawara..
 
Kweli kazi ipo. Hivi kinajadiliwa nini hapa? Mke unamjua au unamsikia? Anayesifia hawara huyo hana mke na hajawahi kuwa na mke ila wote aliowahi kuwa nao wote mahawara.
 
I wish ningekuwa hawara wa mtu. kumbe anaweza kufa kwa ajili yangu!
 
Kweli kazi ipo. Hivi kinajadiliwa nini hapa? Mke unamjua au unamsikia? Anayesifia hawara huyo hana mke na hajawahi kuwa na mke ila wote aliowahi kuwa nao wote mahawara.

:thumbup::thumbup:Umenena.
 
Yaan inauma sana kusikia mme unathamini mistress wako kuliko my wife wako hizo ni laana wanaume mnajitakia ndo mana mda mwingine unasikia li mume limekufa kwa ukimwi afu mke wake yupo safi kabisa na watoto wanadunda malipo ni hapa hapa duniani, ndoa na iheshimiwe na watu wote jaman.
 
Oa kwanza halafu ndio uje useme HAWARA anauma kuliko Mke


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa sipeleki pesa nyingi kwa nyumba ndogo hata kidogo, tena huwa sehemu ya kufanyia mazoezi yangu mengine. Na ndo maana huwa sikai nao muda mrefu wanakimbia wakifulia wanakuja wanayakuta mazoezi pale pale.

Mke wangu namheshimu simfanyii mazoezi maana nyumba ndogo ni ya wote haiwezi kuwa yako hata siku moja. Mke angalau asilimia fulani anaweza kuwa wako.

La muhimu wanaume wenzangu ukianza mambo haya bado kijana hutayafaidi, wekeza kwanza mapesa yakishakuwa mengi hapo waweza fanya lolote ukiwa na uhakika.

Mambo ya kufanya vitu kwa mawazo hayafai, mitoko na nyumba ndogo ni kuanzia 27 ya mwezi mwisho tar 7 ya mwezi unaofiuata unaanza kuwa bize eti. Nao wanakuwa wamejua kuwa umeishiwa na wengine wanakuwa wanaendelea.

mkuu kumbuka na mkeo pia anafanyiwa mazoezi pia kama wewe unavyofanya tu na pia ni hawala wa jamaa...just saying ila ndio ukweli wenyewe huo.
 
Kweli kazi ipo. Hivi kinajadiliwa nini hapa? Mke unamjua au unamsikia? Anayesifia hawara huyo hana mke na hajawahi kuwa na mke ila wote aliowahi kuwa nao wote mahawara.

daah hatimae kuna mtu amekua na mawazo kama yangu...hawala kitu gani bwana hawajui kama wakezao ni mahawala wa watu wengine ? jf na magreat thinkers wote mnaunga mkono suala la mtu kua na hawala kweli jamani? nilitegemea mtoa mada engeambulia matusi sana lakini mna mpa support ya haya alioandika hapa ukimwi hautoisha kamwe.
 
Back
Top Bottom