Jamani Hawa wanawake mbona si Waaminifu hivi?

If it was a police case tunasema hii ni open and close case. Iko wazi sana haihitaji ushauri wowote.
 
nimembwaga zamaaaniii na sasa machungu yameanza kuishaisha Asante sana kwa ushauri wenu na ushirikiano muliouonesha kipindi cha matatizo na huyu demu msaliti,, sasa nipo kwenye Dirisha la utafutaji wa maisha,,,
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

Silver25, huyo alikuwa mchumba kweli???shukuru mungu amekuepusha na balaa.
 
Du lugha kali sana mamii, unajua watu tunatofautiana sana kiulewa na hasa wale tunaokutana hapa JF. Kuna watu kila aina humu. all in all ujumbe wako ni mzuri ila lugha uliyotumia inaweza kufanya usieleweke vzuri na mhusika.

ni mara chache sana huwa unanielewa!
 
Achana na huyo mwanamke hakufai hata kidogo mshukuru mungu dalili umeziona mapema
Yupo mwema aliyeandaliwa ka ajili yako

kama ashamtupia msukule hayo maneni ayafanyi kazi ata sikumoja usiombe uwwe sukule la mapenzi we......................
 
Pole Mkuu,maana tulio kwenye ndoa wengi wetu hatufichwi,inafikia hatua tunajuana na kila mtu anakula vyake tunabaki na minyororo ya ndoa vidoleni(wakristu). Shida inakuja kama wewe si mlaji wa vya nje basi unachobakishiwa ndio unachokula-una bahati bcs kwa kawaida hao huwa wanaficha mpaka uingie kwenye kufunga pingu za .........humu wengi wanajidai ni mashujaa lakini wanajua kabisa wanakula vinavyobaki,kama unaona huyo dada ana quality au asset ambayo huwezi kukubali funga macho uoe.:cheer2:
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

Sasa tukushauri nini wakati wewe mwenyewe hapo ushajishauri kwanza kuacha mara moja hiyo tabia sijui ya kumtukana uliyemuwinia then kwa nini na wewe usiache mara moja hiyo tabia ya kungangania as if yeye mwenyewe ndo ana K ? then mtafute huyo alokutukana mpe vitu vya kiutu uzima, nshakutana na hizo ishu mbofu mbofu mtu kapiga simu anatukana nikamuuliza simple tu upo wapi akataja nikamwambia nakuja nashukuru nilifika ontime nikamcheki sio baunsa wa kunishinda nikatoa kichapo uvuvuzela wake kwangu ukaishia hapo.
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

Tafadhali, come down, and just have peace of mind....! This matters a lot.

Siku zote ukimuoa mwanamke uliyepata kucheat naye utarajie nawe kufanyiwa hivyo hivyo; mimi naona hata huyu ulimchukuaga kwa mtu. Hata hivyo yaliyokutokea yatamtokea na mwanaume huyo pia kumpitia mwanamke huyo.

Mimi naona uliingia majini kuogelea na ukazamisha hadi kichwa! Kamwe usifanye hivyo, utateseka na kujutia kuogelea....!

Daima ogopa kupenda bila kupendwa. Hii siku zote ni adhabu uliojipa mwenyewe, na kuhukumu nafsi yako bila kosa lolote. Hivyo, angalia maana hii ndio huwafanya wengine hadi waamue kujiua....! But, nobody will take care of yourself....!

Hakuna hata siku moja Mungu anakuwa na kusuduio baya kwa mwanadamu. Hivyo, hutukutanisha na baadhi ya watu wabaya (wasiotufaa) kwanza, ili tukutanapo na wale walioandaliwa kwa ajili yetu, basi tupate kuwa thankful.....! Please, assume as if this is what happened to you...!
 
pole mtu mzima wanawake nawaogopa sana hawaaminiki na wala huwa hawajulikani wanataka nini haswa hata uwe na pesa , mwli mkubwa, mrefu ,handsome , umsex mpaka atosheke lakini bado atatongozwa na watu vicheche na watampiga mibao tena siku hizi wanaliwa sana tigo hasa mtu ukiwa na mkeo au mchumba watu wanaowapata hawa hasa wake za watu wanawala sana **** acha bwana hawafai kabisa hawa piga chini apige marapa kivyake huko
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

wakutanishe wote... watakie maisha mema.. na huyo kdume mpe laivu asikusumbue...kimya chako hakimaanishi umemgwaya..unaepusha madhara!!:A S-danger:
 
Back
Top Bottom