Jamani Hawa wanawake mbona si Waaminifu hivi?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii
 
Wewe mtose tu huyo demu...mbona mademu wako wengi tu.

Kuna surplus ya mademu na sioni kwa nini huyo akuumize kichwa
 
Take a deep breath and move on with your life. huyo msichana hakufai.
 
Sasa kama unatukanwa kwanini usiachane na huyo mwanamke?Unatukanwa kwa kuwa inaonesha una mawasiliano na mpenzi wa mtu maana umekiri mwenyewe kuwa jamaa kakuwin hivyo mwachie mwenzio afaidi na mvua ya matusi itapungua.
Pole sana maana inaonesha ulidata sana kwa huyo mwanamke maana hata ulivyoelezea inaonekana bado unamtaka.Achana nae utakuja umizwa zaidi ya hapo.
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

naona Mzee yamekufika shingoni naona unaongea kwa jazba sana, pole sana mkuu, hiyo hali ndio inawafanyaga wengine wanakuwa WASEJA, ama ma SENIOR BACHELORS,

PIGANIA MAISHA YAKO KWANZA, NA CHA MUHIMU USIJARIBU HATA SIKU MOJA KUYAWEKA MOYONI HAYO MAMBO, JARIBU MUDA WOTE KUYAWEKA WAZI NA KUWAADITHIA WATU, WENGINE YALISHATUKUTA MAKUBWA KULIKO HAYO WE ACHA TU, LAKINI TULIPATA RELIEF KWA KUYAWEKA WAZI KWA WATU WENGI AMBAO WALINISHAURI KUTOKANA NA EXPERIENCE ZAO, HAPO NI UCHUMBA TU INGEKUWAJE KAMA NDIO MNGEKUWA TAYARI MKE NA MUME NDANI YA NYUMBA?

TAKE EASY KAMANDA
 
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,

ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?

naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria

naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..

mnanishaulije hapo wanajamii

...Kila atapo cheat tarajia kuombwa naye msamaha huku ukitukanwa na hao 'wanaokusaidia'.
Ndivyo walivyo w'wake wa aina hiyo.

nASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU MZURI,, KWASABABU MIMI NILISHA AMUA KUPIGA CHINI,, SASA VITUKO VILIVYO TOKEA SASA YULE MWANAUME AMEANZA KUDOUBT KUWA NITALIPA KISASI,,
WANANIDANYANYA KUWA WAO NI MABINAMU, NA SI WAPENZI, HUKU HUYO MWANAMKE AKISISITIZA KUTAKA KUONANA NA MMIMI ILI ANISIMULIE SITUATION ILIVYOKUWA.. HAWAJUI MIMI NIMESHAFANYA UCHUNGUZI NA KUPATA bRIEF YA UCHAF WAO,,,

THESE PEOPLE ARE SOO STUBON,, BORA KUWA MSEJA TU
 
Kwa kuwa umeshaamua kumpiga chini, wewe endelea kukaa kimya tu. Mambo ya kuanza kujibizana maneno si ustaarabu wala hayaonyeshi kwamba wewe ni unajua kuongea kuliko huyo anayejidai kakuwin. Ni hofu kama huyo dada anawiniwa kirahisi na huyo mpenzi mpya ajiandae kunyanganywa na atakayemzidi kete.

Pole kaka, ndo ukubwa.
 
Achana na huyo mwanamke hakufai hata kidogo mshukuru mungu dalili umeziona mapema
Yupo mwema aliyeandaliwa ka ajili yako
 
...Kila atapo cheat tarajia kuombwa naye msamaha huku ukitukanwa na hao 'wanaokusaidia'.
Ndivyo walivyo w'wake wa aina hiyo.

huyu mwanaume nae lofa tu, unamcal mwanaume mwenzio na kumtukana badala apambane na mhucka wake kwanza...ningekuwa mie ndio huyo mwanamke ningeshammwaga kabisa, wanaume wasiojiamini na ni mzigo wa dhambi.....mtao thread wewe mpuuzie huyo mwanaume mwenzio hana ufahamu kabisa, kuhsu binti huyo nae atakusumbua tu huko mbeleni.
 
Mwaga mara moja, kisha chukua demu ingine. Wako wengi tena wazuri kwa sura na tabia.
 
Siku hizi mademu hata sisumbuki nao maana hata kwenye simu unatongoza unapata na umjui akujui sembuse live mmwage achape lapa!vuta kingine na wew kamringishie natafuta chenye usafiri napita nacho mitaa yake naakikisha anakona na miguu umening'iniza katika dashbord!!.....kama ajanywa sumu!!:behindsofa:
 
haya bwana...lol
 
Silver,

Usitafute replacement ya mwanamke mwingine ukiwa katika hali ya jazba.Tulia kwanza fanya mambo mengine muhimu ya kukusaidia katika maisha yako ikiwa ni pamoja na kujenga economic base yako. Kila wakati avoid kufanya decisions ukiwa umechukia sana ama ukiwa umefurahi sana kwani situation zote mbili husababisha maamuzi yasiyo mazuri in the long run.

Unapofikiria kuoa hata kama huwa husali, muombe Mungu kwani ni eneo linalohitaji msaada wa Mungu.
 
Let your wisdom take control...drink a glass of water....go out and fish...plenty of finsh in the ocean.:love:
 
Kaka we tambaa tu. Huyo demu inaonekana kichaka cha walevi, wakitoka bar wanajihudumia tu
 
nASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU MZURI,, KWASABABU MIMI NILISHA AMUA KUPIGA CHINI,, SASA VITUKO VILIVYO TOKEA SASA YULE MWANAUME AMEANZA KUDOUBT KUWA NITALIPA KISASI,,
WANANIDANYANYA KUWA WAO NI MABINAMU, NA SI WAPENZI, HUKU HUYO MWANAMKE AKISISITIZA KUTAKA KUONANA NA MMIMI ILI ANISIMULIE SITUATION ILIVYOKUWA.. HAWAJUI MIMI NIMESHAFANYA UCHUNGUZI NA KUPATA bRIEF YA UCHAF WAO,,,

THESE PEOPLE ARE SOO STUBON,, BORA KUWA MSEJA TU

Hapo highlighted umenifurahisha sana. Wapo wengi sana wanaodanganywa kuwa huyu ni binamu kumbe ni mume/mke mwenza! Hii inatokea sana kwa wale wanaume/wanawake wasio waaminifu kwa waume/wake zao hasa kama mmeoana kabila tofauti. Kuna makabila fulani huwa wanaongoza kwa udanganyifu huu, natumaini wengi mtakuwa mnawafahamu sina haja ya kuleta tafrani hapa. Pole sana mkuu, ila nashangaa unataka ushauri hapa wakati ulitakiwa sasa hivi umeshampiga chini na utulie kutafuta mwingine. Vijana (wake kwa waume) wengi siku hizi ni cheaters hatari sana. Ndoa kwa ni kujikosha tu waonekane wana nyumba za kudumu but wanayofanya huko nyuma ya pazi ni hatari.

huyu mwanaume nae lofa tu, unamcal mwanaume mwenzio na kumtukana badala apambane na mhucka wake kwanza...ningekuwa mie ndio huyo mwanamke ningeshammwaga kabisa, wanaume wasiojiamini na ni mzigo wa dhambi.....mtao thread wewe mpuuzie huyo mwanaume mwenzio hana ufahamu kabisa, kuhsu binti huyo nae atakusumbua tu huko mbeleni.
Du lugha kali sana mamii, unajua watu tunatofautiana sana kiulewa na hasa wale tunaokutana hapa JF. Kuna watu kila aina humu. all in all ujumbe wako ni mzuri ila lugha uliyotumia inaweza kufanya usieleweke vzuri na mhusika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom