Wakuu nasubiri jibu ili nijue niendelee kutafuta pesa za nauli kuifata hiyo interview au nipumzike!maana kwa yaliyotoka sijaona jina langu labda kama kuna mengine?
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla?
Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka watu washaitwa kazini!
mkuu,Hapana mkubwa, ondoa wasiwasi. Hizi ni nafasi zilizo tangazwa tar 13/04/2012 kwa zile za Chuo cha mipango Dodoma. Zingine zilitangazwa nyuma ya hapo kwa wakati tofauti tofauti. endelea kusubili.