Jamani ee..hebu tujuzane kuhusu usaili wa tume ya ajira

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,962
11,797
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla?
Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka watu washaitwa kazini!
 
Wakuu nasubiri jibu ili nijue niendelee kutafuta pesa za nauli kuifata hiyo interview au nipumzike!maana kwa yaliyotoka sijaona jina langu labda kama kuna mengine?
 
Wakuu nasubiri jibu ili nijue niendelee kutafuta pesa za nauli kuifata hiyo interview au nipumzike!maana kwa yaliyotoka sijaona jina langu labda kama kuna mengine?

Mkuu majina mengine hakuna na hizo post zilitoka kitambo /mapema tu. ila so wewe tu ambaye hujaona jina lako mimi pia sijaona jina langu na nakumbuka kabisa niliomba ASSISTANT ACCOUNTANT II katika chuo kilichopo hombolo na NILITAZAMA HAYO MAJINA ZAIDI YA MARA TATU.

USHAURI WANGU
Kama jina lako halipo uspoteze NAULI YAKO kwani wanaotakiwa ni wale ambao majina yao yametoka yaani wameitwa kwenye intavyuu.

siku njema
 
vp na ww uliomba hzo chance? but i think nyng bado hawajaita

niliomba ndugu yangu,sasa sielewi kama ndio basi au kuna wengine hawajaitwa?unavyosema kuwa yako bado ni ipi hiyo?au ktk hz kuna mengne yatatoka tena bdae?
 
Jamani hii ni short list kwa wale waliomba mwezi wa pili mwaka huu, kama haulioni jina lako na uliomba ktk tangazo la February ujue kuwa haujafanikiwa maana sio kila anayeomba ataitwa.
 
Hapana mkubwa, ondoa wasiwasi. Hizi ni nafasi zilizo tangazwa tar 13/04/2012 kwa zile za Chuo cha mipango Dodoma. Zingine zilitangazwa nyuma ya hapo kwa wakati tofauti tofauti. endelea kusubili.
 
Hapana mkubwa, ondoa wasiwasi. Hizi ni nafasi zilizo tangazwa tar 13/04/2012 kwa zile za Chuo cha mipango Dodoma. Zingine zilitangazwa nyuma ya hapo kwa wakati tofauti tofauti. endelea kusubili.

nashkuru ndugu yangu nimekuelewa.
 
Hii tume nayo imejaa vituko tu,utatangazeje kazi zingine mpya wakati hata zingine hujafanyia watu usaili.Sasa itafika mahali watu watachanganyikiwa wenyewe kwamba watu walishaitwa kumbe bado,why cant you do it using FIFO
 
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla?
Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka watu washaitwa kazini!

kuna tangazo la kazi lilitoka mwezi April tarehe 13 mwaka huu, mimi banafsi niliomba kazi mojawapo, nilikua nikifuatilia kama wataita watu kwenye usaili.
nimeona juzi wametoa tangazo jipya na kazi nyingi sana karibu 75% ni READVERTISED, sasa napata kigugumizi kwamba watu wote hao walikua hawana vigezo???
binafsi kazi niliyoomba nina uzoefu nayo miaka mitatu, na vigezo vingine vingi tu nime qualify lakini nashangaa KIMYAAAAAA mpaka leo na wamereadvertise hiyo kazi!!.
kwahiyo mkuu tuvute subra, labda tutaitwa next time.
 
Hapana mkubwa, ondoa wasiwasi. Hizi ni nafasi zilizo tangazwa tar 13/04/2012 kwa zile za Chuo cha mipango Dodoma. Zingine zilitangazwa nyuma ya hapo kwa wakati tofauti tofauti. endelea kusubili.
mkuu,
mipango dodoma walishaita watu kwenye interview!,
ila wamereadvertise nafasi ya SENIOR OFFICE ATTENDANT kwenye tangazo la 27 Julai wiki iliyopita tu, zingine walishaita watu na usaili wamefanya.
 
Za mei 28 bado kabisa, hizi wanazoita sasa ni za muda mrefu. Kuwa na subira!
 
kwa kweli beaurocracy is a truly necessary evil, yani tuna wait hayo majibu mpaka unasahau kabisa kama ulifanya application,au mpaka bunge limalizike?,basi angalau hata watu tangazie nini kinaendelea kwa tulio fanya application tupate moyo ,ingawa hatujui kama tutapata au la. inaumiza sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom