Jamani E MAIL hizi!!!!

wezi wa kinigeria hao na mbinu zao za kizamani za kitapeli.....

Kweli kabisa! Hawa ni matapeli wa kimataifa wanamwandaa mtu wa kumniga. Ilishanitokea face book. Nilikaa kimya mpaka wakachoka. Mwenye thread hii naye akauke, asijibu chochote.
 
Mimi nilipata mpaka email ya obasanjo anataka anitumie billions of money,hawa ni majizi sana
 
​mkuu usichanganyikiwe ni utapeli huu................msg ka hii mara ya kwanza nlipata nkiwa form 3 nikaipotezea baadae nkazizoea tu.
 
It is refered to as advanced fraud, cheki kwenye net it has a given the criminal code 419. These are nigerian people. Take care usijeibiwa bure ndugu.
 
take care saaaaaaaaana ndugu, atakutumia na picha zake kibao ili uzuzuke...at the end CHUNGA ACCOUNT NO yako,pia ushauri wa bure kw mnao toka benki na vikaratas vya accont no zenu mna tupa ovyo ovyo,au mnapenda kuwapa wa2 ATM card zenu...mtajalia kama mbuzi! Technologia inakuwa kila sekunde for +ve and -ve impacts!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom